Dua zenu jamani

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,779
Wadau !
Mamember !
Washirika !
Wadada !
Wakaka
Hivi niandikavyo Manchester United wako pitch!
Campaign ni kumchinja Mnyama anaitwa Bayer Leverkusen.
Mnyama keshaelekezwa qibla !
Man. U tunacheza bila Van Pasie , Caric , Chacharito (majeruhi)
Right now Giggs kamimina cross , imemkuta Valensia katupia kambani .
So far Man . U wako mbele bao 1.
Ziko fununu hata @maxence na Mike hili ndilo chama lao .
Mwageni midua basi kwa Man. U !
 
Last edited by a moderator:
29 min . Adhabu ndogo imepigwa na Roney , inatua kwenye kichwa ya Smaling anatupia kimia !
Man. U 2 , Bayer 0
Note : tunacheza away !
 
64 min. John Evans anaipatia Man. U bao la 3
TATU BILA!
Hapa ndo hata dua 1 sijaona!
Je? Mkizileta itakuaje?
 
76 min. Smaling tena anaipatia Man. U bao la 4 !
Sasa nimechoka kuhesabu!
 
Hizo dua elekeza kwa Kili Stars leo wanamenyana na Zambia....
 
Hizo dua elekeza kwa Kili Stars leo wanamenyana na Zambia....

Nalo hilo neno!
Leo kiuzawa zaidi , Afu role model wangu Mbwana & Thomas nimeongea nao kwa simu punde hivi , wamenihakikishia ushindi .
 
Nalo hilo neno!
Leo kiuzawa zaidi , Afu role model wangu Mbwana & Thomas nimeongea nao kwa simu punde hivi , wamenihakikishia ushindi .

Hahaha hao madogo hawatakuwep leo, wikiendi inayokuja wana kibarua cha kuipa ubingwa Mazembe huko Lubumbashi...baada ya hapo ndio wanaweza kuwajoin kina Ngassa na wengineo
 
Ya jana ilikua hatari ya Man u walifanya kitu roho inapenda.
 
Hahaha hao madogo hawatakuwep leo, wikiendi inayokuja wana kibarua cha kuipa ubingwa Mazembe huko Lubumbashi...baada ya hapo ndio wanaweza kuwajoin kina Ngassa na wengineo

All in all ! Hebu nipe faraja , unavyoona Babaake huu mziki wa Zambia tutaumudu ?
 
Back
Top Bottom