Dua ya Swala ya Kutaka Shauri (swalatul istikharah):

njia ya saada

JF-Expert Member
Sep 3, 2018
322
250
Amesema Mtume(s.a.w) (Akiwa na nia mmoja wenu ya kufanya jambo, basi na aswali rakaa mbili zisizokuwa za faradhi, kasha aseme: “Ewe Mola! Hakika mimi nakutaka shauri kwa ujuzi wako, nakuomba kwa uwezo wako na ninakuomba fadhila zako zilizo kubwa. Kwa hakika wewe unaweza na mimi siwezi, na unajua na mimi sijui, na wewe Ndiye Mjuzi wa ghaibu zote. Ewe Mola! Iwapo kwenye ujuzi wako wewe, jambo hili lina kheri na mimi katika dini yangu, maisha yangu na mwisho wa jambo langu, au alisema ‘mambo yangu ya sasa na ya baadae’ basi nikadiria na unifanyie sahali kisha unitilie baraka katika jambo hili. Na ikiwa kwenye ujuzi wako jambo hili lina shari na mimi katika Dini yangu, maisha yangu na mwisho wa jambo langu, au alisema ‘katika mambo yangu ya sasa na ya baadae’ niepushe nalo na liepushe na mimi. Na unikadirie kheri yote mahali iliyopo, kisha niridhishe nalo”. asema ‘Kisha aitaje haja yake’) [ Imepokewa na Bukhari.].Amesema Mtume(s.a.w) (Akiwa na nia mmoja wenu ya kufanya jambo, basi na aswali rakaa mbili zisizokuwa za faradhi, kasha aseme: “Ewe Mola! Hakika mimi nakutaka shauri kwa ujuzi wako, nakuomba kwa uwezo wako na ninakuomba fadhila zako zilizo kubwa. Kwa hakika wewe unaweza na mimi siwezi, na unajua na mimi sijui, na wewe Ndiye Mjuzi wa ghaibu zote. Ewe Mola! Iwapo kwenye ujuzi wako wewe, jambo hili lina kheri na mimi katika dini yangu, maisha yangu na mwisho wa jambo langu, au alisema ‘mambo yangu ya sasa na ya baadae’ basi nikadiria na unifanyie sahali kisha unitilie baraka katika jambo hili. Na ikiwa kwenye ujuzi wako jambo hili lina shari na mimi katika Dini yangu, maisha yangu na mwisho wa jambo langu, au alisema ‘katika mambo yangu ya sasa na ya baadae’ niepushe nalo na liepushe na mimi. Na unikadirie kheri yote mahali iliyopo, kisha niridhishe nalo”. asema ‘Kisha aitaje haja yake’) [ Imepokewa na Bukhari.].
https://www.al-feqh.com/sw/swala-ya-sunna
52863953_1141109442734377_5731899036382789632_n.jpg
 
life is Short

JF-Expert Member
Apr 1, 2013
4,741
2,000
Asante kwa ujumbe nilikua naomba maana ya neno FARADHI na GHALIBU, pia anaposema UNIKADIRIE anakua ana maanisha nini? Nauliza kwa muktadha wa lugha ya kiswahili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bismillah:- Ndg mpendwa ..baada ya maelezo happy juu..Labda kwa heshima ya mleta uzi(mada) naomba ni dahili tafsiri ya suali zako!!
Neno faradhi ni hukum yaliyo LAZIMISHWA, KM:- SWALA TANO NI FARADHI, SAUMU (MFUNGO WA MWEZI WA RAMADHANI ) NAO NI FARDHI ZAKAA NI FARDHI (lakini Swadaqa siyo FARDHI)
Hivyo hiyo ibadaa (Swalatu istikhara) siyo FARDHI Bali ofa au Njia ya mawasiliano ya mojakwamoja (direct) Allah akufungulie yaliyo kheri/mema nawe.

Neno GHAIBU ina maana ujuzi was mustakabal (knowing the future) ujuzi wa mbeleni Nini kinachotokea au kinachokuja !! KM:- unataka kugombea cheo fulani ... Ni vigumu kutabiri hatma yako!! Hivyo ilmu hiyo aijuae ni Allah pekee.

UNIQADIRIE ni ombi khaswa kumuwakilisha mtoaji akupe kadri apendae yeye mwenyewe!! KM:-
Unaomba mahitaji yasiyo na idadi ila hutegemei kiasi gani upate..basi usema Consider my request au my demand (hivyo utakachopewa kitatisha)

Nimejaribu kukufikishia kwa kuwa Imani na itikadi za Kiislam "tuelimishane na tuongozane kwenye kheri"
Wama tawfiqi ila billah
 
chama mpangala

JF-Expert Member
Sep 3, 2015
425
500
Amesema Mtume(s.a.w) (Akiwa na nia mmoja wenu ya kufanya jambo, basi na aswali rakaa mbili zisizokuwa za faradhi, kasha aseme: “Ewe Mola! Hakika mimi nakutaka shauri kwa ujuzi wako, nakuomba kwa uwezo wako na ninakuomba fadhila zako zilizo kubwa. Kwa hakika wewe unaweza na mimi siwezi, na unajua na mimi sijui, na wewe Ndiye Mjuzi wa ghaibu zote. Ewe Mola! Iwapo kwenye ujuzi wako wewe, jambo hili lina kheri na mimi katika dini yangu, maisha yangu na mwisho wa jambo langu, au alisema ‘mambo yangu ya sasa na ya baadae’ basi nikadiria na unifanyie sahali kisha unitilie baraka katika jambo hili. Na ikiwa kwenye ujuzi wako jambo hili lina shari na mimi katika Dini yangu, maisha yangu na mwisho wa jambo langu, au alisema ‘katika mambo yangu ya sasa na ya baadae’ niepushe nalo na liepushe na mimi. Na unikadirie kheri yote mahali iliyopo, kisha niridhishe nalo”. asema ‘Kisha aitaje haja yake’) [ Imepokewa na Bukhari.].Amesema Mtume(s.a.w) (Akiwa na nia mmoja wenu ya kufanya jambo, basi na aswali rakaa mbili zisizokuwa za faradhi, kasha aseme: “Ewe Mola! Hakika mimi nakutaka shauri kwa ujuzi wako, nakuomba kwa uwezo wako na ninakuomba fadhila zako zilizo kubwa. Kwa hakika wewe unaweza na mimi siwezi, na unajua na mimi sijui, na wewe Ndiye Mjuzi wa ghaibu zote. Ewe Mola! Iwapo kwenye ujuzi wako wewe, jambo hili lina kheri na mimi katika dini yangu, maisha yangu na mwisho wa jambo langu, au alisema ‘mambo yangu ya sasa na ya baadae’ basi nikadiria na unifanyie sahali kisha unitilie baraka katika jambo hili. Na ikiwa kwenye ujuzi wako jambo hili lina shari na mimi katika Dini yangu, maisha yangu na mwisho wa jambo langu, au alisema ‘katika mambo yangu ya sasa na ya baadae’ niepushe nalo na liepushe na mimi. Na unikadirie kheri yote mahali iliyopo, kisha niridhishe nalo”. asema ‘Kisha aitaje haja yake’) [ Imepokewa na Bukhari.].
https://www.al-feqh.com/sw/swala-ya-sunna View attachment 1037993
InshaAllah!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom