IDEGENDA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 4,505
- 5,331
Yani wewe unataka? Hivi mnafikirii huyo Mungu ni Amsterdam?Mimi nataka fedheha mojawapo ya kuipata ni kuwa kama mhusika wa kuiba haki ya uchaguzi huu ni mwanaume basi akose nguvu za kiume na adharauliwe na mkewe kuwa siyo mwanaume kamili hata kama ni tajiri na ana mavyeo makubwa kiasi gani!