Dua Maalumu ya Kumuombea Jecha Salum Jecha

Chiwaso

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
5,726
3,762
Habari wana JF,
Kutoka na umuhimu wake kwenye Siasa za Tanzania na hasa siasa za Zanzibar, napendekeza tupendekeze Sala maalumu ya Kumuombea Kiongozi, Ndugu yetu na Mwenyekiti wetu wa ZEC Ndg Jecha Salum Jecha.
Ni dua hipi hasa inamfaa Ndg yetu Huyu.
 
Albadir
Ili kama kuna dhuluma yyte waliyoifanya dhidi ya wenzao basi Jecha na wenzie wote wafe kama sio kuwa vichaa
 
Eeee Serikali ya mapinduzi zanzibar endeleeni kumpa ulinzi wa kutosha milele na milele mpaka apumzike kwa amani asante.
 
Allah mpe hofu yako kiumbe huyu na ajirekebishe alipo kosea km kuna zulma anaifanya mpe hofu aiache
 
Back
Top Bottom