Dua kabla ya Bunge: Umoja, Haki, Hekima kwa Raisi na mengineyo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dua kabla ya Bunge: Umoja, Haki, Hekima kwa Raisi na mengineyo!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MsandoAlberto, Nov 15, 2011.

 1. M

  MsandoAlberto JF-Expert Member

  #1
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,019
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mh. Anna Makinda anaposoma dua kabla ya kikao cha Bunge huwa anaamini anachosoma?

  Kwa uelewa wangu anachofanya ni kusoma dua na sio kusali/kuswali. Kunatofauti kati ya kusoma dua na kusali/kuswali.

  Hayo yote yanayotajwa kwenye dua yanabaki ni maneno tu na sio sala. Kwa yanayotokea bungeni sioni hiyo dua inasaidiaje!

  Wabunge wangeweza kabisa kujadiliana kwa meseji za simu kuliko kukaa bungeni. Badala ya kutumia gharama kubwa ni bora wabunge wapewe hela ya vocha watumiane meseji maamuzi yafikiwe. Afterall, mengi yameshaamuliwa. Wananchi watafanya maamuzi yao tofauti mapema tu!

  Dharau, kutokujali, kujisahau, kujiamini, kujivuna, ubinafsi, ujinga, kutokujua, kutokuelewa, uwezo mdogo, upumbavu, uvivu, uduanzi, uzuzu, uzee (kwa baadhi) ni sababu za jumla na pamoja zinazotupeleka kwenye BUNGE LA WANANCHI.
   
 2. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #2
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mimi nilisemeee hilo la UMOJA, HEKIMA na HAKI
   
 3. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #3
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Amesikia vugu vugu la maandamano nchi nzima?

  Sidhubutu kuona SEREKALI ya Tanzania ikiacha NCHI ikizama kwenye MAHANGAIKO yasiyo na ulazima wowote ule?

  Tayari kumeshakuwa na maadamano madogo madogo kwenye mikoa mingi ya Tanzania hadi kufikia sasa. AKILI za Watanzania hazishitushwi na tena na maandamano ..THEY Are in Pre-Hypnotic State ... Zinangojea ..Swith tu!!

  Serekali kwa namna yeyote isiruhusu hiyo Swhitch kwa kuchezea shilingi karibu na tundu ...ni kweli maadamano yatafanyika .. na Serekali hawataweza kuya DHIBITI mfano ni pale Mbeya Juzi.

  WITO:

  Spika wa Bunge tukufu la Tanzania asikilze ushauri huu mara moja! Simply Atangaze mara moja kuwa watareview HOJA NZIMA YA MSWAADA WA SHERIA!! Afanye sasa hivi!!

  Hiyo ni Busara na sio kuwa yeye ni MYONGE! Huo Ni Ujasiri wa KIUTU, Wenye Heshima na Upendo wa Kiutu utakao tupa Mafanikio na Matumaini ya manedeleo kwa jamii NZIMA na Kudhibitisha Kuwa anatenda Haki na ana Hekima ya Kujenga na kudumisha Umoja wa taifa.
   
Loading...