Du! Wahaya nao kwa fix!!!

Nesindiso Sir

JF-Expert Member
Oct 31, 2007
379
21
After studying law, Rwegoshora decided to move back to his home town of Bukoba to open his own practice.
The first day, he saw a man coming up the sidewalk. He decided to make a big impression on this new client when he arrived.
As the man came to door, Rwegoshora picked up the TTCL phone. He motioned the man in, all while talking. "No. Absolutely no. You tell those clowns in New York that I won't settle this case for less than one million. Yes. The Appeals Court has agreed to hear that case next week. I'll be handling the primary argument and the other members of my team will provide support. Okay. Tell the State Prosecutor that I'll meet with
him next week to discuss the details."
This sort of thing went on for almost five minutes. All the while the man sat patiently as Rwegoshora rattled off instructions.
Finally, Rwegoshora put down the phone and turned to the man. "I'm sorry for the delay, but as you can see, I'm very busy. What can I do for you sir?"
The man replied,
I'm from TTCL; I've come to connect your line"
 
Eeeh! Hii kali kwelikweli, ubishoo weke wa kimbwenu ulimuumbua
 
..hii imekaa vizuri kwa kuanzia weekend!

..inanikumbusha story za "wamekufa abiria watano na mmassai mmoja!"
 
Ubishoo shwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!

Siku moja nilipata safari kwenda Bukoba ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kufika kule na nilikuwa na shauku sana kuona jinsi mji wa Bukoba ulivyo na wenyeji wake. Kwa bahati tukafika pale BK majira ya jioni na wenyeji wangu wakaamua kunitembeza mjini, ni mji mdogo ingawa wenye shughuli za hapa na pale. Katika tembea tembea tulifika sehemu fulani wenyewe waanaiita Beach ni mahala pazuri sana kuna upepo mwanana na kuna burudani ya ngoma za asili na muziki wa dansi (live band)

Ghafla nikakuta kuna jamaa wawili wanapigana nami kwa shauku nikasogea ili niweze kujua nini kilijiri hadi wakaamua kuzipiga.
Pale nilikuta watu tayari wameshawaamulia wakawa wanawahoji kwanini wanapigana, mmoja kati ya waliokuwa wanapigani anaelekea ni mkulima wa kawaida tu, lakini nilishangaa wenyewe wanamwita Dokta, mahojiano yalikuwa kama ifuatavyo:

Muuliza swali: Dokita Rweyemamu kwanini unampiga Bwana Kafanabo
Dokta: You know this Kafanabo ameni-insult.

Muuliza swali: Kafanabo amefanya nini?
Dokta: You by the way he is not my brother.

Muuliza swali: Dokta jibu swali amefanya nini?
Dokta: Angambiri stupid infront of my wife, that is why nikam-tera vibao vitatu.
 
hata hii imekaa vizuri. kumbe zecomedy hata jambo forum walishauwemo tayari.
 
Hwa jamaa kwa fix ndo wenyewe.hata yule asojua Kiingereza basi ataiba vineno walau viwili vya kuchanganyia,kwa hili wamejaliwa ndugu zetu hawa,kah!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom