Du....hizi sms!!!!

SURN

JF-Expert Member
Sep 5, 2011
319
36
Kwa wale wazoefu wa facebook.nina sms nying sana kwenye e-mail yangu niliyojiunganayo na facebook coz post na comments zote zinaingia kwenye inbox ya e-mail yangu.nifanyeje ili nisiwe na sms nying kwenye e-mail yangu maana imekuwa kero

fungua facebook yako, nenda kwenye 'Account Settings', chagua notifications, then chagua notifications unazozitaka kupitia email, kama kwenye picha hapo...

78605972.jpg

Au fungua mail nyingine then zielekeze ziende huko badala ya mail yako ya maana.

fungua facebook yako, nenda kwenye 'Account Settings', chagua notifications, then chagua notifications unazozitaka kupitia email, kama kwenye picha hapo...

78605972.jpg

dah u mwanaume mzuri
napenda watu km nyinyi ....unajisemesha titizo then fastaaaaaaaaaaaa unapewa solution in simpo language... i
i like t....UNAFAAA FAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA kdgoooooooooooo.....soltn at tips..

kweli Rose', waTanzania pamoja ckuzote,,,,,:clap2::clap2:

Kwa wale wazoefu wa facebook.nina sms nying sana kwenye e-mail yangu niliyojiunganayo na facebook coz post na comments zote zinaingia kwenye inbox ya e-mail yangu.nifanyeje ili nisiwe na sms nying kwenye e-mail yangu maana imekuwa kero

<br / asante kaka nimeona ngoja nione kama zitarudia tena kuingia.kilicho bak ni kuzifuta zilizokuwa zimeshaingia maana zipo kama 2891

dah u mwanaume mzuri
napenda watu km nyinyi ....unajisemesha titizo then fastaaaaaaaaaaaa unapewa solution in simpo language... i
i like t....UNAFAAA FAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA kdgoooooooooooo.....soltn at tips..

<br / asante kwa kunipenda na ningekuwa nakufaham ningekuwa najisemesha kwako ili nisaidiwe.siuna2jua wabongo 2livyo

kweli Rose', waTanzania pamoja ckuzote,,,,,

<br / nimeipenda safi sana

fungua facebook yako, nenda kwenye 'Account Settings', chagua notifications, then chagua notifications unazozitaka kupitia email, kama kwenye picha hapo...

good, umempa solution nzuri. Tunahitaji watu kama nyie hapa JF! :)

good, umempa solution nzuri. Tunahitaji watu kama nyie hapa JF!

<br / umeona eeh

Hata nami imenisaidia.Asante sana Rose.

Je inawezekana ukabadilisha username kwenye facebook?
kama inawezekana naomba maelezekezo.
si kwa Rose tu hata kwa yoyote anayejua.
asante

Back
Top Bottom