Mnondwe
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 4,013
- 3,672
Salamu,kwa miaka nimekuwa nikijiuliza maswali mengi kuhusu mfumo wa hawa jamaa wa kuwasha king'amuzi chao.
Kusoma chaneli kinachukua zaidi ya dakika kumi,ukiwa umeunganishwa na extra view ndiyo balaa kabisa.
Azam na startimes wao ukiwasha tu sekunde kumi unaanza kuona.
Je ni mfumo wa kikoloni au nini wajuzi.