Dstv wameitoa TBC1 katika chanel za bure?

Nina DSTV compact lakini bado sipati tbc channel yoyote! Magufuli na Mwakyembe wake walituharibia nchi. Kubomoa ni rahisi. kujenga siyo rahisi. Haitakuwa rahisi kurudi km zamani.
Zinapatikana mkuu sawa unachuki na fisiem ila hii ipo
 
Watu wengine hamuelewi mpaka damu iwatoke masikioni:

1623009129352.png

Zinapatikana mkuu sawa unachuki na fisiem ila hii ipo
 
DSTV bado wana hasira na TBCCM kwa walivyo watia hasara kwenye World Cup, Qatar
 
Back
Top Bottom