Dstv wameitoa TBC1 katika chanel za bure?

radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
20,427
32,193
Habari za majukum wakuu,

Naomba kuuliza kama Tbc 1 katika king'amuzi cha dstv wameitoa kutoka chanel ya bure hadi kulipia kwa sababu naona toka juzi nimekuwa siipati nilipojaribu kuwauliza wanasema dish limeyumba cha kushangaza chanel namba 100 ipo na inaonekana vizur sana kama wameitoa huu ni uhuni.
 
pole!!
 
Wamechelewa sana.
Mie nimeahamia Azam.
Yaani walipogundua watu wanapenda selina na Huba. Nao wamekomalia tu hayo hayo.
Miaka nenda rudi igozo haliishi
 
Si tulishakubaliana kuwa hatutazami TBCCM!

Hata hivyo, sio channel namba 100.... ilikuwa 290 enzi hizo kabla ya katazo.
 
Habari za majukum wakuu,

Naomba kuuliza kama Tbc 1 katika king'amuzi cha dstv wameitoa kutoka chanel ya bure hadi kulipia kwa sababu naona toka juzi nimekuwa siipati nilipojaribu kuwauliza wanasema dish limeyumba cha kushangaza chanel namba 100 ipo na inaonekana vizur sana kama wameitoa huu ni uhuni.
Ipo mkuu hawajatoa
 
Soon Kuna channel mpya wanaiongeza inaitwa mambo TV itapatikana channel no 140 ..
Huko mbeleni
Chanel ten
Chanel ten +
Dizzim tv

Nazo wataziongeza

Itakuwa vizur sana mkuu
 
Nina DSTV compact lakini bado sipati tbc channel yoyote! Magufuli na Mwakyembe wake walituharibia nchi. Kubomoa ni rahisi. kujenga siyo rahisi. Haitakuwa rahisi kurudi km zamani.
Habari za majukum wakuu,

Naomba kuuliza kama Tbc 1 katika king'amuzi cha dstv wameitoa kutoka chanel ya bure hadi kulipia kwa sababu naona toka juzi nimekuwa siipati nilipojaribu kuwauliza wanasema dish limeyumba cha kushangaza chanel namba 100 ipo na inaonekana vizur sana kama wameitoa huu ni uhuni.
 
Nina DSTV compact lakini bado sipati tbc channel yoyote! Magufuli na Mwakyembe wake walituharibia nchi. Kubomoa ni rahisi. kujenga siyo rahisi. Haitakuwa rahisi kurudi km zamani.

Nakupata mkuu
 
Niko hapa naangalia
KISHINDO CHA AWAMU YA TANO. leo anamhoji Dada hepi jinsi atakavyoipaisha Toronto kimaendeleo.
 
Ila kiukweli DSTV wajitafakar mtu unalipa compact 49000 afu hakuna cha maana unaweza angalia si bora ulipe azam tu
 
Back
Top Bottom