Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 14,384
- 26,732
DSTV aligoma kuzionesha channel za FTA bure ndio maana unaona hazimo kwenye package yake
Kina nani walikubali kuzionesha bure!!
DSTV aligoma kuzionesha channel za FTA bure ndio maana unaona hazimo kwenye package yake
Hizo sio FTA ndio maana unaziona zimo.
Startimes, ting, na continentalKina nani walikubali kuzionesha bure!!
Continental nao wamekata bure ni startv yao tu basi.Startimes, ting, na continental
Mmmmh nao wamekuwa wabiashara zaidContinental nao wamekata bure ni startv yao tu basi.
Vyote inatakiwa vifanye hivyo startimes, continental n.k. leseni yao ni ya kuonyesha channels zote za free to air bure..., ila kipindi hiki cha worldcup wameamua kufanya umafia ili wapate mavuno (yaani huu ndio msimu wao wa mavuno unaotokea kila baada ya miaka minne)asante sana mkuu nilitaka kununua kumbe na diesitivi nao ni utopolo, ngoja niendelee na kisimbuzi ninachotumia.HIvi kwa bongo kisimbuzi kipi ni bora, hapa na maanisha, ina channel za kueleweka na hata usipolipia local channels unazipata
dstv hovyo sana...machaneli ya hovyo ndiyo yamejazana hukoYaani huku ni zaidi ya kutuhujumu sisi walipaji wao yaani tunalipia tuone mambo ya nje tuu. Huu ni uhujumu.
Kwanza inatakiwa channels zote ziwe bure,, sisi wabongo hatujazoea kulipa lipa,, hizo pesa wanazokata tozo zilipie hadi DSTV😄🤷🏾♂️Kwa watumiaji wa Dstv tunapata tabu sana kwenye upande wa local news. Inashangaza Dstv kuna channel 7 za local news za kenya KBCTV, NTV, KTN, Citizen TV, KTN News, K24 na kisomali ya Kenya STN TV, hizi zote zinaonesha local news za Kenya ila Tanzania mnatuwekea TBC1 peke yake. Hayo mazagazaga mengine mliyotuzuga nayo sijui Wasafi, Cloudplus, TVe, Safari TV, hayana tofauti na machannel ya YouTube au online streaming ni utopolo
Tunaomba mtuheshimu subscribers wenu turudishieni local channel zinazoeleweka ITV, Channel 10, Star TV, Clouds TV, EATV, Capital TV.
Tumechoka huu upuuzi tutahamia Azam na Startimes kama kama mtaendelea na hizi hujuma zenu Dstv.
Mbona enzi za nyerere kila kitu kilikua bure na watu waliishi?,, Serikali itoe subsides kwa dstv ili tutizame bure banah😂tatizo umeisha jazwa ujinga wa kushadadia vya bure bure, kwenye dunia ya leo hakuna vya bure, hakuna kitu kama hicho sijui 'free to air' fikiria nje ya box
Wakenya tuna exposure kubwa kuliko watanzania🤷🏽♂️Binafsi siwalaumu Dstv, ila angalieni ukweli tu mwamko wa channel za habari za Kenya na Tanzania, Kenya wana media nying ambazo 24/7 zina cover habari ila sasa Tanzania media zetu nying ni cover za Mizik na michezo.. Sisi watanzania kufatilia Habari za Siasa na Uchumi mwamko ni mdogo sana, Ila wa Kenya vijana wanajua sana vitu wapo bright kuliko Sisi wabongo
Package ipi hiyo ambayo haina hizi local channels: ITV, Channel 10, Star TV, Clouds TV, EATV, Capital TV?Kwa watumiaji wa Dstv tunapata tabu sana kwenye upande wa local news. Inashangaza Dstv kuna channel 7 za local news za kenya KBCTV, NTV, KTN, Citizen TV, KTN News, K24 na kisomali ya Kenya STN TV, hizi zote zinaonesha local news za Kenya ila Tanzania mnatuwekea TBC1 peke yake. Hayo mazagazaga mengine mliyotuzuga nayo sijui Wasafi, Cloudplus, TVe, Safari TV, hayana tofauti na machannel ya YouTube au online streaming ni utopolo
Tunaomba mtuheshimu subscribers wenu turudishieni local channel zinazoeleweka ITV, Channel 10, Star TV, Clouds TV, EATV, Capital TV.
Tumechoka huu upuuzi tutahamia Azam na Startimes kama kama mtaendelea na hizi hujuma zenu Dstv.
Unadandia posts za miaka ya nyuma.watu tumepambana ndo mana unaziona hizo local channels sikuhiziPackage ipi hiyo ambayo haina hizi local channels: ITV, Channel 10, Star TV, Clouds TV, EATV, Capital TV?