Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 66,989
- 173,603
Dstv hata sound yake iko clear sana. Ukitaka enjoy i hook up kwenye tv na sound system utaipenda zaidi.DSTV haina mpinzani hapa Tanzania!
Kama dishi la dstv likifungwa vizuri yaani wakati wa initial installation Sginal strength ikiwa 94 au zaidi na Signal quality hivyo hivyo hakuna picha kupotea!
Nipo mkoa wa Kilimanjaro na ni mteja wa DStv kwa zaidi ya miaka kumi sijawahi kuexperience tatizo lolote iwe mvua au jua!
Itachukua miaka mia na ushee hapa Tanzania kuwa na mshindani wa dstv kwa wenye hela zetu!