DSTV hii tabia yenu mbaya muache

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
6,325
6,871
Hii tabia yenu ya kipuuzi sanaa channel ya UBC Tv mnaikata gafla kwa sababu gani ? Hii tabia yenu kila mkiona stationn ya FTA inarusha matangazo ya mpira basi huwa mnaifungia (E38-32) hii tabia ina kera sanaa kama biashara imewashinda ni kheri mkasema
 
Hii tabia yenu y kipuuzi sanaa channel ya UBC Tv mnaikata gafla kwa sababu gani ? Hii tabia yenu kila mkiona stationn ya FTA inarusha matangazo ya mpira basi huwa mnaifungia (E38-32) hii tabia ina kera sanaa kama biashara imewashinda ni kheri mkasema

Hata 160 wamekata. Nimewapigia jana wakadai kuna tatizo, nikawauliza mbona hamjatoa taarifa hawana majibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom