DSTV decoder yangu ina sehemu ya kuchomeka USB shida imekuwa ni wapi nibonyeze ili nipate option ya USB?

PRINCEd

JF-Expert Member
Dec 14, 2015
850
586
Wakuu kwa wale ambao ni wajuzi wa teknolojia watumiaji wa DSTV decoder yangu ina sehemu ya kuchomeka USB shida imekuwa ni wapi nibonyeze ili nipate option ya USB...vile vya AZAM vina button ya Media ila DSTV haina naomba Msaada

Msaada tafadhari.....
Natanguliza shukrani
 
Rimotiii nii hiyooo hapooo
1542347306087.jpeg
 
Wakuu kwa wale ambao ni wajuzi wa teknolojia watumiaji wa DSTV decoder yangu ina sehemu ya kuchomeka USB shida imekuwa ni wapi nibonyeze ili nipate option ya USB...vile vya AZAM vina button ya Media ila DSTV haina naomba Msaada

Msaada tafadhari.....
Natanguliza shukrani
unatumia aina ipi ya Decoder? kama ni pvr inaweza hamisha maudhui yaliorekodiwa kwenye hdd
 
Nmeweka movie kwenye flash nataka niangalie kupitia Decoder
hauwezi kuangalia movie kutoka kwenye flash kwenda kwenye decoder. Tumia TV kama ina sehemu ya USB. Hiyo sehemu ya USB kwenye decoder yako ( inaonekana ni ndogo zile ) tumia kuchajia simu au kuunga internet, wenye explora ndo wanaweza hamisha maudhui kutoka kwenye decoder.
 
Kuunga internet how? Kwa maaaana decoder yaweza tumika Kama modem ama? Sijaelewa fafanua kidogo mkuu
 
Back
Top Bottom