iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,924
Kila mkoa una kamati ya ushauri ya mkoa iliyojaa manguli katika fani zote muhimu za sheria,ardhi,uchumi,maendeleo ya jamii.
Kamati hii ina Ramani zote za mkoa na wana uwezo wa kuwaita watu wa wizara ya ardhi watoe ufafanuzi wa mambo ili wakiamua basi serikali isipate fedheha.
Je walishirikishwa? Kama hawakushirikishwa kwa nini?
Au baada ya kuambiwa kwamba mkuu wao anaona watumishi wanne tu ndio wa muhimu na wengine waondolewe basi wakamsusia na kumuacha aingie chaka?
Kamati hii ilimshauri nini mkuu wa mkoa?kama alikataa ushauri,nani amwajibishe?