Elections 2015 DSM CCM wana madiwani wangapi na UKAWA wangapi?

Ninavyofahamu mimi Jiji la Dar, Madiwani wa Ukawa 53, CCM 38.
Jiji la Tanga, Madiwani wa Ukawa (CUF) wapo 16, CCM wana 11. Jiji la Arusha ndiyo funga kazi, Madiwani wa Ukawa(Chadema) wapo 24, CCM wameambulia diwani 1, Jiji la Mbeya Ukawa( Chadema) wana madiwani 18, CCM wana 6. Mji wa Moshi Ukawa (Chadema) wana madiwani 18 na CCM wameambulia 3, Mji wa Iringa Ukawa(Chadema) 14 na CCM wana madiwani 4.
Kwa hiyo ingawa CCM inatamba kuwa imeshinda, lakini kiuhalisia imeshinda 'maporini' na kwenye miji mikubwa na yenye uwezo mkubwa kiuchumi almost yote ipo chini ya Ukawa except Jiji la Mwanza ambalo ni home city kwao Magufuli.
Jiji la Mbeya lina kata 36....
Chadema wana kata 26,Ccm wana kata 9 kata moja haikufanya uchaguzi
 
WILAYA YA KINONDONI


Jimbo la UBUNGO - Chadema
Jumla ya kata 8.
Chadema kata 5
CUF kata 1
CCM kata 2


Jimbo la KIBAMBA-Chadema
Jumla ya kata 6.
Chadema kata 5
CCM kata 1


Jimbo la KAWE - Chadema
Jumla ya kata 10.
Chadema kata 5
CCM kata 5


Jimbo la KINONDONI - CUF
Jumla ya kata 10.
Chadema kata 3
CUF kata 3
CCM kata 4


WILAYA YA ILALA


Jimbo la SEGEREA - CCM
Jumla ya kata 13.
Chadema kata 8
CUF kata 5


Jimbo la UKONGA - Chadema
Jumla ya kata 13.
Chadema kata 7
CCM kata 6


Jimbo la ILALA - CCM
Jumla ya kata 10
Chadema kata 2
CUF kata 2
CCM kata 6


WILAYA YA TEMEKE


Jimbo la KIGAMBONI - CCM
Jumla ya kata 9.
Chadema kata 2
CUF kata 2
CCM kata 5


Jimbo la MBAGALA - CCM
Jumla ya kata 10.
Chadema 1
CUF kata 2
CCM kata 7


Jimbo la TEMEKE - CUF
Jumla ya kata 11.
Chadema kata 1
CUF kata 4
CCM kata 6


Kwa mchanganuo huo hapo juu Muungano wa ukawa una nafasi kubwa ya kuwa na Meya wa JIJI la Dar es salaam na manaibu meya, pia
Manispaa za Kinondoni na Ilala zote
Zitakuwa na mameya wa 2 na manaibu meya wote kutoka UKAWA isipokuwa Wilaya ya Temeke tu ambapo huko ccm wamezidi.

Asante sana mkuu
 
WILAYA YA KINONDONI


Jimbo la UBUNGO - Chadema
Jumla ya kata 8.
Chadema kata 5
CUF kata 1
CCM kata 2


Jimbo la KIBAMBA-Chadema
Jumla ya kata 6.
Chadema kata 5
CCM kata 1


Jimbo la KAWE - Chadema
Jumla ya kata 10.
Chadema kata 5
CCM kata 5


Jimbo la KINONDONI - CUF
Jumla ya kata 10.
Chadema kata 3
CUF kata 3
CCM kata 4


WILAYA YA ILALA


Jimbo la SEGEREA - CCM
Jumla ya kata 13.
Chadema kata 8
CUF kata 5


Jimbo la UKONGA - Chadema
Jumla ya kata 13.
Chadema kata 7
CCM kata 6


Jimbo la ILALA - CCM
Jumla ya kata 10
Chadema kata 2
CUF kata 2
CCM kata 6


WILAYA YA TEMEKE


Jimbo la KIGAMBONI - CCM
Jumla ya kata 9.
Chadema kata 2
CUF kata 2
CCM kata 5


Jimbo la MBAGALA - CCM
Jumla ya kata 10.
Chadema 1
CUF kata 2
CCM kata 7


Jimbo la TEMEKE - CUF
Jumla ya kata 11.
Chadema kata 1
CUF kata 4
CCM kata 6


Kwa mchanganuo huo hapo juu Muungano wa ukawa una nafasi kubwa ya kuwa na Meya wa JIJI la Dar es salaam na manaibu meya, pia
Manispaa za Kinondoni na Ilala zote
Zitakuwa na mameya wa 2 na manaibu meya wote kutoka UKAWA isipokuwa Wilaya ya Temeke tu ambapo huko ccm mwamezidi.
mkuu umeongopa kuhusu temeke , ninaweza kuthibitisha kwamba chadema imeshinda kata ya kurasini , kata ya keko na kata ya chang'ombe , kwingine sijui , kwahiyo kusema cdm ina kata moja tu jimbo la temeke si kweli .
 
WILAYA YA ILALA

Jimbo la ILALA - CCM
Jumla ya kata 10
Chadema kata 2
CUF kata 2
CCM kata 6

Mkuu hebu weka masahihisho ni kama ifuatavyo:-
Jimbo la ILALA - CCM
Jumla ya kata 10
Chadema kata 1
CUF kata-haikupata kata hata moja
CCM kata 9
 
Kuna hawa madiwani Wa viti maalumu kama 1000s na dhidi ya 200s na Wa chadema hv Ccm hawawezi Fanya figisu tukajaza kadhaa hapa Dar ili tutoe Meya.....NY let's wait n see naamini dawa inachemka.
 
WILAYA YA KINONDONI


Jimbo la UBUNGO - Chadema
Jumla ya kata 8.
Chadema kata 5
CUF kata 1
CCM kata 2


Jimbo la KIBAMBA-Chadema
Jumla ya kata 6.
Chadema kata 5
CCM kata 1


Jimbo la KAWE - Chadema
Jumla ya kata 10.
Chadema kata 5
CCM kata 5


Jimbo la KINONDONI - CUF
Jumla ya kata 10.
Chadema kata 3
CUF kata 3
CCM kata 4


WILAYA YA ILALA


Jimbo la SEGEREA - CCM
Jumla ya kata 13.
Chadema kata 8
CUF kata 5


Jimbo la UKONGA - Chadema
Jumla ya kata 13.
Chadema kata 7
CCM kata 6


Jimbo la ILALA - CCM
Jumla ya kata 10
Chadema kata 2
CUF kata 2
CCM kata 6


WILAYA YA TEMEKE


Jimbo la KIGAMBONI - CCM
Jumla ya kata 9.
Chadema kata 2
CUF kata 2
CCM kata 5


Jimbo la MBAGALA - CCM
Jumla ya kata 10.
Chadema 1
CUF kata 2
CCM kata 7


Jimbo la TEMEKE - CUF
Jumla ya kata 11.
Chadema kata 1
CUF kata 4
CCM kata 6


Kwa mchanganuo huo hapo juu Muungano wa ukawa una nafasi kubwa ya kuwa na Meya wa JIJI la Dar es salaam na manaibu meya, pia
Manispaa za Kinondoni na Ilala zote
Zitakuwa na mameya wa 2 na manaibu meya wote kutoka UKAWA isipokuwa Wilaya ya Temeke tu ambapo huko ccm wamezidi.
Duh...... Hiyo inapendeza sana.
Kumbe hata Ikulu ya Magufuli itakuwa chini ya himaya ya Meya toka Ukawa?
Sasa itabidi hata ule wimbo wake maarufu wa alinselema.....alija............. Huyo Mheshimiwa Magufuli awe anauimba kwenye vikao vya Halmashauri ya Ilala kwa Meya wake wa Ukawa!
 
Jiji la Mbeya lina kata 36....
Chadema wana kata 26,Ccm wana kata 9 kata moja haikufanya uchaguzi
Nashukuru kwa taarifa Mkuu.
Inawezekana source ya habari yangu ikawa ilinipotosha.
Hata hivyo cha muhimu na ambacho information tulizo nazo kwa pamoja ni kuwa Jiji la Mbeya litakuwa chini ya himaya ya Ukawa (Chadema) kwa maana ya Mbunge na Meya wake.
Hongereni sana wakazi wa Jiji la Mbeya kwa kuwaweka bench hao 'mchwa' wa Sisiem.
 
Maendeleo ya mwananchi moja kwa moja yanategemea sana na utendaji kazi wa diwani sio mkouu wa wilaya au mkoa. Ndiyo maana watu wanataka kujua hilo!!!!
Haijalishi, Raisi wa Mkoa wa Dar ni Mkuu wa Mkoa wa Dar ambaye huteuliwa na Raisi wa JMTZ moja kwa moja, Raisi wa Wilaya za Dar ni Mkuu wa Wilaya ambaye huteuliwa na Raisi wa JMTZ moja kwa moja hawo madiwani hawana meno9 yoyote yale!
 
Mavi nchi ni ya nani. ..?....

lugha za Matusi zimegeuka sasa kuwa mila na desturi za CHADEMA....more intelligent Tanzanian citizen watazidi kukaa kando na GENGE hili la wanywa VIROBA na lenye sirika hasi za KIKASKAZINI....
 
WILAYA YA KINONDONI


Jimbo la UBUNGO - Chadema
Jumla ya kata 8.
Chadema kata 5
CUF kata 1
CCM kata 2


Jimbo la KIBAMBA-Chadema
Jumla ya kata 6.
Chadema kata 5
CCM kata 1


Jimbo la KAWE - Chadema
Jumla ya kata 10.
Chadema kata 5
CCM kata 5


Jimbo la KINONDONI - CUF
Jumla ya kata 10.
Chadema kata 3
CUF kata 3
CCM kata 4


WILAYA YA ILALA


Jimbo la SEGEREA - CCM
Jumla ya kata 13.
Chadema kata 8
CUF kata 5


Jimbo la UKONGA - Chadema
Jumla ya kata 13.
Chadema kata 7
CCM kata 6


Jimbo la ILALA - CCM
Jumla ya kata 10
Chadema kata 2
CUF kata 2
CCM kata 6


WILAYA YA TEMEKE


Jimbo la KIGAMBONI - CCM
Jumla ya kata 9.
Chadema kata 2
CUF kata 2
CCM kata 5


Jimbo la MBAGALA - CCM
Jumla ya kata 10.
Chadema 1
CUF kata 2
CCM kata 7


Jimbo la TEMEKE - CUF
Jumla ya kata 11.
Chadema kata 1
CUF kata 4
CCM kata 6


Kwa mchanganuo huo hapo juu Muungano wa ukawa una nafasi kubwa ya kuwa na Meya wa JIJI la Dar es salaam na manaibu meya, pia
Manispaa za Kinondoni na Ilala zote
Zitakuwa na mameya wa 2 na manaibu meya wote kutoka UKAWA isipokuwa Wilaya ya Temeke tu ambapo huko ccm wamezidi.

Safi kwa mchanganuo huu
 
Dar karibia halmashaur zote zitaendeshwa na ukawa
Mikoani huko wamejifanya wameichagua ccm tuwaache waendelee kula vumbi huku rushwa ikizid kuongezeka

Wote wliojenga kwenye maneo ya wazi watabomolewa. Sijui majiji yanayoendeshwa na UKAWA yatafaya nini. Tusubiri tuone.
 
Miongoni mwa miji iliyochini ya Ukawa ni pamoja na Manispaa ya Mtwara, miji ya wilaya kwa mkoa wa Mtwara ni pamoja na ya Tandahimba na Newala mjini, ambako mbunge wake amebatizwa jina la Nkurunzinza.
Huyu anadaiwa kuwa mara baada ya kushinda ujumbe wa Halmashauri kuu ya CCM mkoa wa Mtwara kabla ya awamu hii aliyonayo sasa ya uongozi wa CCM alitangaza kuwa hatagombea tena nafasi hiyo ya uongozi ndani ya CCM badala yake atakuwa mshauri.
Lakini uchaguzi uliyofuata ambao uongozi wake upo madarakani hadi sasa mheshimiwa huyo akabadili gia angani akidai wana CCM wamemuomba hasa wa wilaya ya Newala kugombea nafasi hiyo ya ujumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa kupitia wilaya ya Newala.
Nkurunzinza huyu aliposhinda kura za maoni ya CCM ya Ubunge jimbo la Newala kwa mbinde mwaka 2010, aliibuka na kudai kuwa sasa yeye ni mzee na hata gombea tena ubunge katika jimbo hilo na kuwa anamwandaa mtu.
Lakini alishangaza watu mwaka huu alipoibuka tena na kudai wananchi wa Newala mjini wanamtaka kutokana na kazi nzuri
cha ajabu ushindi wake wa kura chache zisizozidi 500 zianadai ni za kughushi na matokeo yalitangazwa kwa mtutu wa bunduki huku madiwani zaidi ya nusu wakiwa wa CUF kwa jimbo zima.
 
ninavyofahamu mimi jiji la dar, madiwani wa ukawa 53, ccm 38.
Jiji la tanga, madiwani wa ukawa (cuf) wapo 16, ccm wana 11. Jiji la arusha ndiyo funga kazi, madiwani wa ukawa(chadema) wapo 24, ccm wameambulia diwani 1, jiji la mbeya ukawa( chadema) wana madiwani 18, ccm wana 6. Mji wa moshi ukawa (chadema) wana madiwani 18 na ccm wameambulia 3, mji wa iringa ukawa(chadema) 14 na ccm wana madiwani 4.
Kwa hiyo ingawa ccm inatamba kuwa imeshinda, lakini kiuhalisia imeshinda 'maporini' na kwenye miji mikubwa na yenye uwezo mkubwa kiuchumi almost yote ipo chini ya ukawa except jiji la mwanza ambalo ni home city kwao magufuli.
kisheria kuna ccm cuf chadema na vyama vingine hakuna ukawa hivyo ukichukulia chama kimoja kimoja ccm ina madiwani wengi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom