Elections 2015 DSM CCM wana madiwani wangapi na UKAWA wangapi?

juvenile davis

JF-Expert Member
Apr 13, 2015
4,752
4,449
Wanajamvi habari zenu,Mungu awe nanyi.

Naomba mwenye majibu anisaidie tafadhari,hivi kwa hapa jijini DSM mgawanyo wa madiwani upoje? Ningependa kujua hivi kuna jumla ya madiwani wangapi?

Je, CCM wamepata wangapj na UKAWA wamepata wangapi? Vyama vingne sina shida ya kujua maana nina uhakika hawajapata hata mmoja.
 
Sikia mkuu UKAWA wamewapita ccm kama kwa madiwani 20+ hivi. Usiwe na hofu jiji lipo chini ya UKAWA.
 
Dar karibia halmashaur zote zitaendeshwa na ukawa
Mikoani huko wamejifanya wameichagua ccm tuwaache waendelee kula vumbi huku rushwa ikizid kuongezeka
 
Wanajamvi habari zenu,Mungu awe nanyi.

Naomba mwenye majibu anisaidie tafadhari,hivi kwa hapa jijini DSM mgawanyo wa madiwani upoje? Ningependa kujua hivi kuna jumla ya madiwani wangapi?

Je, CCM wamepata wangapj na UKAWA wamepata wangapi? Vyama vingne sina shida ya kujua maana nina uhakika hawajapata hata mmoja.

WILAYA YA KINONDONI

Jimbo la UBUNGO - Chadema
Jumla ya kata 8.
Chadema kata 5
CUF kata 1
CCM kata 2

Jimbo la KIBAMBA-Chadema
Jumla ya kata 6.
Chadema kata 5
CCM kata 1

Jimbo la KAWE - Chadema
Jumla ya kata 10.
Chadema kata 5
CCM kata 5

Jimbo la KINONDONI - CUF
Jumla ya kata 10.
Chadema kata 3
CUF kata 3
CCM kata 4

WILAYA YA ILALA

Jimbo la SEGEREA - CCM
Jumla ya kata 13.
Chadema kata 8
CUF kata 5

Jimbo la UKONGA - Chadema
Jumla ya kata 13.
Chadema kata 7
CCM kata 6

Jimbo la ILALA - CCM
Jumla ya kata 10
Chadema kata 2
CUF kata 2
CCM kata 6

WILAYA YA TEMEKE

Jimbo la KIGAMBONI - CCM
Jumla ya kata 9.
Chadema kata 2
CUF kata 2
CCM kata 5

Jimbo la MBAGALA - CCM
Jumla ya kata 10.
Chadema 1
CUF kata 2
CCM kata 7

Jimbo la TEMEKE - CUF
Jumla ya kata 11.
Chadema kata 1
CUF kata 4
CCM kata 6

Kwa mchanganuo huo hapo juu Muungano wa ukawa una nafasi kubwa ya kuwa na Meya wa JIJI la Dar es salaam na manaibu meya, pia
Manispaa za Kinondoni na Ilala zote
Zitakuwa na mameya wa 2 na manaibu meya wote kutoka UKAWA isipokuwa Wilaya ya Temeke tu ambapo huko ccm wamezidi.
 
Dola na nchi ni mali ya watanzania. FISI MKUMBWA WE!!

OOps up! Kumbe unajua eehh....kuanzia leo usirudi nyuma.... na naomba wana jamii forum tumtoe TUFE katika kundi la MANYUMBU...huyu anaonesha KUJITAMBUA!!!
 
Wanajamvi habari zenu,Mungu awe nanyi.

Naomba mwenye majibu anisaidie tafadhari,hivi kwa hapa jijini DSM mgawanyo wa madiwani upoje? Ningependa kujua hivi kuna jumla ya madiwani wangapi?

Je, CCM wamepata wangapj na UKAWA wamepata wangapi? Vyama vingne sina shida ya kujua maana nina uhakika hawajapata hata mmoja.

Haijalishi, Raisi wa Mkoa wa Dar ni Mkuu wa Mkoa wa Dar ambaye huteuliwa na Raisi wa JMTZ moja kwa moja, Raisi wa Wilaya za Dar ni Mkuu wa Wilaya ambaye huteuliwa na Raisi wa JMTZ moja kwa moja hawo madiwani hawana meno9 yoyote yale!
 
Wanajamvi habari zenu,Mungu awe nanyi.

Naomba mwenye majibu anisaidie tafadhari,hivi kwa hapa jijini DSM mgawanyo wa madiwani upoje? Ningependa kujua hivi kuna jumla ya madiwani wangapi?

Je, CCM wamepata wangapj na UKAWA wamepata wangapi? Vyama vingne sina shida ya kujua maana nina uhakika hawajapata hata mmoja.
Ninavyofahamu mimi Jiji la Dar, Madiwani wa Ukawa 53, CCM 38.
Jiji la Tanga, Madiwani wa Ukawa (CUF) wapo 16, CCM wana 11. Jiji la Arusha ndiyo funga kazi, Madiwani wa Ukawa(Chadema) wapo 24, CCM wameambulia diwani 1, Jiji la Mbeya Ukawa( Chadema) wana madiwani 18, CCM wana 6. Mji wa Moshi Ukawa (Chadema) wana madiwani 18 na CCM wameambulia 3, Mji wa Iringa Ukawa(Chadema) 14 na CCM wana madiwani 4.
Kwa hiyo ingawa CCM inatamba kuwa imeshinda, lakini kiuhalisia imeshinda 'maporini' na kwenye miji mikubwa na yenye uwezo mkubwa kiuchumi almost yote ipo chini ya Ukawa except Jiji la Mwanza ambalo ni home city kwao Magufuli.
 
WILAYA YA KINONDONI

Jimbo la UBUNGO - Chadema
Jumla ya kata 8.
Chadema kata 5
CUF kata 1
CCM kata 2

Jimbo la KIBAMBA-Chadema
Jumla ya kata 6.
Chadema kata 5
CCM kata 1

Jimbo la KAWE - Chadema
Jumla ya kata 10.
Chadema kata 5
CCM kata 5

Jimbo la KINONDONI - CUF
Jumla ya kata 10.
Chadema kata 3
CUF kata 3
CCM kata 4

WILAYA YA ILALA

Jimbo la SEGEREA - CCM
Jumla ya kata 13.
Chadema kata 8
CUF kata 5

Jimbo la UKONGA - Chadema
Jumla ya kata 13.
Chadema kata 7
CCM kata 6

Jimbo la ILALA - CCM
Jumla ya kata 10
Chadema kata 2
CUF kata 2
CCM kata 6

WILAYA YA TEMEKE

Jimbo la KIGAMBONI - CCM
Jumla ya kata 9.
Chadema kata 2
CUF kata 2
CCM kata 5

Jimbo la MBAGALA - CCM
Jumla ya kata 10.
Chadema 1
CUF kata 2
CCM kata 7

Jimbo la TEMEKE - CUF
Jumla ya kata 11.
Chadema kata 1
CUF kata 4
CCM kata 6

Kwa mchanganuo huo hapo juu Muungano wa ukawa una nafasi kubwa ya kuwa na Meya wa JIJI la Dar es salaam na manaibu meya, pia
Manispaa za Kinondoni na Ilala zote
Zitakuwa na mameya wa 2 na manaibu meya wote kutoka UKAWA isipokuwa Wilaya ya Temeke tu ambapo huko ccm wamezidi.

Kibamba umedanganya.
kata zipo sita.

CHADEMA KATA 6
CCM KATA 0
 
What we need is step forward and not number of ward leaders and members of parliament one party has won. Every one should work hard for the people to make the changes.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom