Elections 2015 DSM CCM wana madiwani wangapi na UKAWA wangapi?

Ninavyofahamu mimi Jiji la Dar, Madiwani wa Ukawa 53, CCM 38.
Jiji la Tanga, Madiwani wa Ukawa (CUF) wapo 16, CCM wana 11. Jiji la Arusha ndiyo funga kazi, Madiwani wa Ukawa(Chadema) wapo 24, CCM wameambulia diwani 1, Jiji la Mbeya Ukawa( Chadema) wana madiwani 18, CCM wana 6. Mji wa Moshi Ukawa (Chadema) wana madiwani 18 na CCM wameambulia 3, Mji wa Iringa Ukawa(Chadema) 14 na CCM wana madiwani 4.
Kwa hiyo ingawa CCM inatamba kuwa imeshinda, lakini kiuhalisia imeshinda 'maporini' na kwenye miji mikubwa na yenye uwezo mkubwa kiuchumi almost yote ipo chini ya Ukawa except Jiji la Mwanza ambalo ni home city kwao Magufuli.

Dah mkuu inauma mwanza kukosekana kuwemo katika majiji au halmashauri zitakazo kuwa chini ya ukawa
 
Dar karibia halmashaur zote zitaendeshwa na ukawa
Mikoani huko wamejifanya wameichagua ccm tuwaache waendelee kula vumbi huku rushwa ikizid kuongezeka
Ubungo pekee ndio chadema.... Tmk CCM, Ilala CCM, Kinondoni CCM na Kigamboni CCM.... Meya wa Jiji yupo kwa hisani ya CCM tu
 
Back
Top Bottom