Dry cleaning bussiness | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dry cleaning bussiness

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by MINA, Sep 28, 2011.

 1. M

  MINA Member

  #1
  Sep 28, 2011
  Joined: Feb 22, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hello wadau!
  Nataka kuanzisha biashara ya dry cleaning somewhere in this country lkn nataka kuanza kwa small scale ili kutest biashara!nataka kujua mtaji kiasi gani ambao unaweza kuhitajika kwenye hiyo bussiness pia ni machine gani ambazo natakiwa kuwa nazo!na hz machine zinaweza kucost sh ngapi na zinapatikana nchini au mpk niagize na km kuagiza wakina nani ni reliable suppliers!
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu MINA

  ningekushauri iwe ni laundry , pia ukapata chumba cha kutosha unaweka wash & drying machines watu wanakuja kufua kwa kulipia , pia ukawa na drop off services, biashara hii inaweza kuwa nzuri dar Arusha , kwa dar tafuta maeneo yaliyo karibu na hostels au vyuo

  yes , it can be a good business with affordable price
   
 3. samito

  samito JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 621
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Biashara hii hata mi nilishawahi kuiwaza nikatafuta hizo mashine ambazo ni for commercial use lakini sikupata muelekeo sahihi, nasubiri wadau wanaofaham hapa hii bizness, mi nataget soko la dodoma.. ushauri plz
   
 4. Mtanganyika

  Mtanganyika JF-Expert Member

  #4
  Sep 28, 2011
  Joined: Jul 18, 2007
  Messages: 1,613
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 180
  Umeme should be number one concern. I believe umeme lazima uwe stable kabla hujawaza biashara hii.
   
 5. Doltyne

  Doltyne JF-Expert Member

  #5
  Sep 28, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 443
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nilishawahi kutafuta kila kinachohitajika, kuanzia dryers, commercial washers na steamers lakini baada ya kugundua ni investment ya zaidi ya milioni sitini za kitanzania, nikakumbuka inabidi niwe na 'power plant' yangu, nikatia kapuni mawazo hayo.
  Kama alivyododosa mdau hapo juu, umeme ni no1 concern mdau. Kwa links na machine zinazohitajika anza kwanza na used ebay ili uweze kujua brands zinazoongoza duniani. Ingia eBay - one of the UK's largest shopping destinations au ebay.com type commercial washers itakuja list, angalia zinazouzwa bei kubwa kuliko nyingine kwa kuchoose buy it now option halaf soma majina ya manufacturers kisa search google mpya zitakuwa zinauzwaje.

  Cha pili kutathmini ni location na target customers, sehem zenye wahitaji wa huduma hizi tayari zina wadau wanapambana, jaribu kuwatembelea hoji wafanyakazi wote kuhusu biashara, utapata majibu if its worth investing.

  Kila la kheri.
   
Loading...