Dry cleaning business | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dry cleaning business

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by OTIS, Apr 4, 2012.

 1. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Wakuu nataka kufanya biashara ya dry cleaning
  Naomba kujua kwa mjuvi wa biashara hii anisaidie kunipa taarifa ni vitu gani nahitaji ili niweze anza.
  Msaada wenu unahitajika great thinkers
  OTIS
  The Illuminati
   
 2. mabwana

  mabwana JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 282
  Likes Received: 281
  Trophy Points: 80
  mi nakushauri upate mashine za kufulia , pasi, hanger kwa ajili ya kuweka nguo
  na madawa ya kutoa madoa , na sehemu iwe ya kisasa tutakuja juleta nguio
  na bila kusaau sehemu, sehemu muhimu sana
   
 3. v

  vito Member

  #3
  Apr 28, 2012
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  You still interested in this bsness
   
 4. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2012
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,951
  Trophy Points: 280
  above all said.."ASISAHAU MAJI YA KUFULIA YAWEPO NA YASIWE YA VISIMA VYENYE CHUMVI YANATUHARIBIA NGUO ZETU"..pia nilisikia wenzie huwa wanaagiza madawa na sabuni za kufulia toka nje ya nchi ila ndani ya consignment hiyo wanatia na "unga" KUONGEZEA FAIDA...naamini umenielewa??
   
 5. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #5
  Apr 28, 2012
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,951
  Trophy Points: 280
  yes he's interested n thats y he is eager to know the details...just help the guy pse
   
 6. Kibukuasili

  Kibukuasili JF-Expert Member

  #6
  Apr 30, 2012
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 858
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Japo nimechelewa...

  Unahitaji machine commercial yaani heavy duty. Hizi unazoziona madukani utachemsha, ni for domestic use.
  Unahitaji machine ya dry cleaning. Hii tofauti kidogo na bei yake si ya kitoto. Inatumia dawa maalum.
  Utahitaji dryer ya kukaushia nguo baada ya kufua (machine ya kufua huwa inasuuza pia)
  Unahitaji pasi zinazotumia steam tupu, sio hizi za madukani usijeunguza nguo za watu. Pasi za laundry zinatumia boiler inayotoa steam.
  Pia utahitaji meza za kupasia nguo
  Kuna vitu vingine vidogovidogo kama stands za kuwekea nguo, hangers, mifuko, tags, detergents etc

  Mbali na hivyo unatakiwa kufunga machine zako sehemu yenye umeme wa kutosha. Ukiziweka low voltage areas kama Yombo itabidi ufanye kazi usiku wa manane.
  Kama machine utazifunga mbali na front office, itabidi uwe na gari ya kuchukua na kupeleka mzigo. Si unaona Alfa na Mr Clean wanavyochacharika?

  Kila la heri
   
 7. U

  Uswe JF-Expert Member

  #7
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135

  dry cleaning halafu unaongea kuhusu dryer kwa ajili ya kukaushia, naona watu mnachanganya kati ya washing machine na dry cleaning machine, kwa dry cleaning hakuna hizo hadithi za kufua na kusuza halafu kukausha, hebu jielemishe kwanza kabla hujaanza kelimisha wengine
   
Loading...