Droupouts wa vyuo tukutane hapa

Watu hawana hasira na dropouts, wana hasira na wewe(mtoa mada) ambaye umedrop ila kichwa kiko tupu hujui nini unafanya..unatakiwa urudi shule kwa hali ninayoiona kwako ili uondoe ujinga na upumbavu ndo uje mtaani kuendelea na maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi mnayo. Mtu unaanza kuwa too personal to me kuliko kuwa personal na maisha yako!!

Naona mnavyohangaika mshahara hautoki..,
Screenshot_20200224-140607.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mafanikio yetu yanatokana na namna tunavyo fikiri, nawapongeza wote wanao amua kusonga mbele na kutumia vipaji na juhudi kufanya vizuri kimaisha.
Big brain...
Wanaowaza kwa kutumia minyoo ndo wamegeuza uzi huu kuwa battle ya waliokomaa na shule na kupata vyeti na sisi tulipita hivi tukawaachia mataa.

Kudos

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunahimiza watu kujitegemea kutumia mind potential kufanya kitu kinacholeta ela direct bila kuwa kwenye ajira yenye mambo ya ajabu ajabu.

Fikiria stress zilizoko kwenye hilo kundi la waliosoma na kupata vyeti, cha kwanza ni kutopata ajira (ila kujiajiri wanaona kama dhambi,) cha pili masilahi hakuna kila sku mara mshahara hautoshi mara unachelewa ( pamoja na hayo kutumia mshahara kujiajiri wanasema hali ngumu hela haitoshi)

Kuna wachache tu katika kundi la waliojiriwa ndio hutumia hiyo kama fursa ya kujipanga na kujitoa kwenye ajira na baadae kusimama kwenye project zao wao kama wao.

Akitokea mtu akisema drop the system anaonekana hana akili. Hivi Ni kwakuwa mnaona cheti kinaongeza muda wa kuishi au. ??

Nmeambatisha picha ikionesha wasomi wenye elimu zao vichwani walioajiriwa wakiomba kuongezewa mshahara..
Screenshot_20200225-053934.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu anaejiita dropout (mtoa maada), kwa anadai anakopesha hadi milioni 10 ( kama unavigezo )
Swali, je huo mtaji kautoa wapi??
Kwa hali ya uchumi wetu tz tuanaujua. Mtu mwenye capacity ya kukopesha 10M sio wa kawaida.
Kwahyo uyu jamaa asidanganye tena watu wadrop out kma vile mtaani kuna fursa njenje za utajiri.

Ushauri wangu.
Kama umepata nafas ya kusoma jitahdi umalize. Ishu sio kua na cheti. Ishu ni kua na FANI (vyeti ni kwaajili ya utambulisho juu ya fani uliyonyo), ambayo kwa msomi mtanzania, kutoka familia maskini ndo mtaji wa kuanza nao.

Mbali na fani uliyonayo, ukiingia mtaani unaweza pia kupambana katk fursa zngne kma vile biashara, kilimo, udalali etc & a mixture of hustlings., Wakat huo uko na fani yako pia ipo. Hapo unakua unapambana wakat huohuo ikitokea fursa inayoendana na fani yko unaweza kuingia, iwe ni ajira au umepata mtaji unatka kujiajir kufnya ishua inayoendana na fani yko.

Mwisho wa siku mkono unaenda kinywani. Na ukipambana kwa kujituma, bila kua na tamaa, huyu mungu ni wa kwetu sote. 3 to 4 yrs lazima utakua mbali.

Tuache kupotoshana. Life is not that much easier (Except kwa wachache sana).



Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe million 10 inaweza kukununua, karibu PM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanafunzi mmesharud shulen?? kuendelea kutumikia mabeberu
 
Back
Top Bottom