Droo ya robo fainali kombe la Shirikisho Afrika: Simba kukipiga na Orlando Pirates

Naomba connection ya page ya orlando piratea nione jinsi wabongo walivyoivamia na viingereza vyao brocken
Kwa hiyo na wewe kabisa unaenda kuwacheka wenzio wanaongea kingereza kibovu...dunia ina maajabu hii
 
Simbs SC the pride of Tanzania.

Simba SC heshima ya Tanzania.

Ndivyo ilivyo taamkwa.
Huoni hiyo tu ni heshima.
Simba go go go all the way.

Afrika Mashariki hakuna mwakilishi zaidi ya Simba S C.

Muhimu Orlando Pirates Dar - hatoki 2- 0.
Mark my word.
Mengine ni Mungu.
 
Naona Maombi yenu tukutane na Timu Dhaifu kwa sasa ya Al Ahly Tripoli ya Libya yamekataliwa na sasa tumepewa Matajiri na Majabali wa Soka la Afrika Orlando Pirates FC ya South Africa.

Kama Mbabe wetu Kaizer Chiefs FC kila akikutana na Orlando Pirates anachezea tu Kichapo ndiyo itakuwa Waswahili wa Kariakoo na Msimbazi?

Na msijidanganye katika Uchawi ( Ndumba ) kwani hawa Jamaa kwa Uchawi ndiyo Vinara na ili Kuonyesha kuwa hawatanii hata nchini Afrika Kusini sasa kuna Chuo Kikuu cha Uchawi ( Sangoma ) ambacho kwa sasa GENTAMYCINE namalizia dissertation yangu ili Nihitimu na mnikome rasmi na zaidi hapa Tanzania na hapa JamiiForums kwa wale watakaokuwa na Viherehere na Mimi.

Orlando Pirates FC wana Mawinga ( Viberenge ) wao Watatu ni hatari tupu halafu wanakimbia Tuisila Kisinda anasubiri kudadadeki.

Sasa Utamu wa Orlando Pirates FC ni katikati ( Midfield ) Wana Watu wawili hao wanapiga Pasi Mchomozo na Pasi Upendo Chama na Bwalya wakasubkri na kuna muda huwa wanapiga Pasi bila Kufumbua Macho na inafika kunakotakiwa.

Mwisho ni kwa Washambuliaji wao wakati Sisi Simba SC huku Kwetu Tanzania Fiston GENTAMYCINE Mayele anatusumbua sasa Orlando Pirates FC wana Washambuliaji wao Wanne ambao ni mara Kumi na Tano ya alivyo Mayele na kwa Beki 'nyoro nyoro' ya Simba SC naona tunafungwa idadi ya Goli ambazo hata katika Kikapu hayataenea iwe Mechi ya hapa Nyumbani Tanzania na kule Kwao Afrika Kusini.

Tukiwatoa hawa Orlando Pirates FC naahidi Kujisaidia Haja Kubwa ( Kunya ) kuanzia Stendi ya Mabasi Mbezi Mwisho ( Louis ) Dar es Salaam mpaka Msamvu Morogoro.

Mwisho wetu umeshawadia tusinune!!!!
Ngozi nyeusi ni laana, na roho za hivi zipo Bongo tu
 
NDIO UTANI HUO, SIO YULE MWENZAKO KULE ANANITOLEA POVU KUNITUKANA NA MIMI WALA HATA SIJAMTUKANA

Kuombeana mabaya kwa sisi watani ni kitu cha kawaida ila kuna wengine mahaba yamewazidi utani hawauwezi
Mpira ni furahaaaaa sio vitaaaa
Utaniii kwenye mpira lazimaaaaa
 
Simbs SC the pride of Tanzania.

Simba SC heshima ya Tanzania.

Ndivyo ilivyo taamkwa.
Huoni hiyo tu ni heshima.
Simba go go go all the way.

Afrika Mashariki hakuna mwakilishi zaidi ya Simba S C.

Muhimu Orlando Pirates Dar - hatoki 2- 0.
Mark my word.
Mengine ni Mungu.
2 BILA DAR SAWA, VIPI KULE UGENINI?
 
MANAAKE HAPO KWANZA NICHEKE 😂😂🤣🤣🤣

WATANI ZANGU ASANTENI KWA KUSHIRIKI, TUONANE MSIMU UJAO

MBWEMBWE ZENU ZINAISHIA ROBO FAINALI TU HAPO


ORLANDO PIRATES A.K.A ''Amabhakabhaka, The Sea Robbers, Bucs, Happy People, Buccaneers, Ezimnyama Ngenkani''
Dah! Kweli ng'ombe wa maskini hazai! Yaani hapo Simba ana wakati mgumu. Bora hata angekutana na hao Waarab wa Libya, au Tp Mazembe!

Anyway, ngoja tusubiri tuone. Kwa sababu lolote linaweza kutokea. Maana bado hatujasahau walichofanywa kwenye mechi ya ugenini na Kaizer Chiefs msimu uliopita.
Uto... kwenye ubora wenu
 
Reality ni ipi? Orlando Pirates na Simba ipi ni timu? Kumbuka Orlando ni vinara wa kundi lao

Kama swala ni kuwa kinara wa kundi, msimu uliipita Simba Sc alikuwa kinara wa kundi kama ilivyo kwa Orlando sasa, alifika wapi?

Wewe baki kule uimbe mapambio ya mama mama mama, mambo ya mpira utayawezea wapi?
 
Back
Top Bottom