Drones Attack- Je Marekani ina Haki ktk Kufanya Haya Mauaji? Je Nchi Zengine Nazo Zina Haki ya Kuua?

Mr.Right

JF-Expert Member
Jul 9, 2011
408
69
Baada 9/11 tumeanza kuona actions nyingi sana zinafanywa na Marekani dhidi ya wale wanaoitwa "Magaidi"

Moja ya hizo actions ambazo watu ktk legal level wameanza kuuliza maswali mengi ni mauaji ya kutumia Drones Attack. Kuna raia wengi wanakufa bila ya sababu. Marekani inachukua hizi actions bila ya kuwapeleka hawa Binadamu Mahakamani. Kama wiki mbili zilizopita Marekani ilisign mkataba wa kuja na hizi Drones Attack ktk East Africa.

Hivi kama Marekani anaweza kuua raia wake kwa kutumia hizi tactics- Je nchi nyingine zinaweza kufanya hivyo kwa kisingio hicho hicho?
 
Back
Top Bottom