Drone Surveillance Begins in Congo

MPUNGA

JF-Expert Member
Nov 10, 2010
838
559
[h=1]The United Nations will start using surveillance drones for the first time in the Democratic Republic of Congo on Tuesday, United Nations officials said Monday. The drones will be used to monitor the volatile border between Congo and Rwanda and the movements of armed groups in the region. The United Nations has a huge peacekeeping mission in Congo, and the drones will be “an important tool to assist the mission in fulfilling its mandate to protect civilians,” said a United Nations spokesman, Martin Nesirky. The mission will start with two drones, built by an Italian company, officials said. [/h]
 
Duh Kagame akisikia hii maneno lazima ataanza kulalamika.
 
Hizo drone jinsi zinavyopiga automatic na protocally ipo siku watakuta maiti ya KAGAME kabutuliwa mkavu....ndo dunia atakapojua kuwa PK alikua anafanya Looting mission za madini Congo directly
 
The drones will be used to monitor the volatile border between Congo and Rwanda and the movements of armed groups in the region.

Nchi ndogo kama Rwanda inabidi foreign policy zake itizame upya.Kuwa na uadui na majirani na jumuiya ya kimataifa hadi wampelekee madege hayo ya kivita si afya kabisa kwa Rwanda.

Bunge limsaidie Kagame kuhusu uendeshaji nchi.Na wataalamu wa Rwanda wamsaidie kumshauri Kagame kubadilika na kubadilisha mitizamo na siasa kutokana na mabadiliko ya ndani na ya kimataifa

Alichoshauri Kikwete cha muhimu Kagame akitilie maanani.Kagame aongee na waasi wayamalize na ahakikishe mifumo ya demokrasia inafanya kazi ndani ya Rwanda na hao wapinzani wa kisiasa walioko magerezani awaachie na fursa awape wote bila kujali kabila na historia ya nyuma ya yaliyopita kama afrika ya kusini walivyofanya akina Mandela ili Rwanda iachane na mavita wakae wajenge nchi.
 
Kumekucha..... Pole Kagame kama ni kweli unavyosingiziwa
 
The United Nations will start using surveillance drones for the first time in the Democratic Republic of Congo on Tuesday, United Nations officials said Monday. The drones will be used to monitor the volatile border between Congo and Rwanda and the movements of armed groups in the region. The United Nations has a huge peacekeeping mission in Congo, and the drones will be "an important tool to assist the mission in fulfilling its mandate to protect civilians," said a United Nations spokesman, Martin Nesirky. The mission will start with two drones, built by an Italian company, officials said.

Hapa sasa Kagame na Museveni watatafuta a new strategy kwani wameshabainika. You can never kill people and get away with it for damu zao zitakusuta tu. Kagame has to die! I really feel sorry for this EAC with Rwanda in it. How do you sit and deal with a killer? Mnapanga strategy ya maemdeleo in the region yeye anawaza whom to kill next so to hide the truth. Come on Presidents Kenyatta and Kikwete, what are you all doing dealing with a Hitler wanna be? This guy is cursed and poison to the region. Think about it, just for once:A S 39:
 
Sasa nimeelewa kwa nini siku chache zilizo pita Kabila anatembea kifua mbele na kuhutubia kule Goma na Kisangani!
 
Nchi ndogo kama Rwanda inabidi foreign policy zake itizame upya.Kuwa na uadui na majirani na jumuiya ya kimataifa hadi wampelekee madege hayo ya kivita si afya kabisa kwa Rwanda.

Bunge limsaidie Kagame kuhusu uendeshaji nchi.Na wataalamu wa Rwanda wamsaidie kumshauri Kagame kubadilika na kubadilisha mitizamo na siasa kutokana na mabadiliko ya ndani na ya kimataifa

Alichoshauri Kikwete cha muhimu Kagame akitilie maanani.Kagame aongee na waasi wayamalize na ahakikishe mifumo ya demokrasia inafanya kazi ndani ya Rwanda na hao wapinzani wa kisiasa walioko magerezani awaachie na fursa awape wote bila kujali kabila na historia ya nyuma ya yaliyopita kama afrika ya kusini walivyofanya akina Mandela ili Rwanda iachane na mavita wakae wajenge nchi.

Mkuu tumejaribu sana kumshahuri jamaa yetu huyu, bahati mbaya asikii la mtu, asomi nyakati sijui nisemeje!! Mtu mmoja kweli unaweza kuwa na kifua cha ku-contain vurugu za chini chini nchini mwako, ukorofishane na majirani zako walio kulea na kusomesha jamaa zako bure, sasa anataka kushidana na International Community hii kama sio ku-commit "HARA KIRI" ni nini? Mimi simuelewi KABISA, ni kweli amesaidia nchi yake kuinua kiuchumi na kuwafanya raia wake wawe na nidhamu za kazi lakini hii aimanishi aendelee kukataa kukaa chini na wahasimu wake wakamaliza tofauti zao kidiplomasia, haya mambo ya kuishi in yesteryears ERA ukiwazia wenzako wasi-cross RED LINE imemsaidia nini katika utawala wake wa takribani miaka ishirini - anaweza kuniangalia usoni na kusema NCHINI yake na yeye wako salama by 100% - why waste maisha yako yote ukitafuta jinsi ya kujiami dhidi ya your real na imaginary enemies - unazidi tu kujiongezea maadui kila pembe ya dunia - je hao wakihamua kurudi Rwanda kinguvu wewe na Serikali yako mtakuwa wageni wa nani?? Asijidanganye kwa kufikiri wenzake ni zombies hawawezi kufanya kweli kama alivyo fanya yeye wakaki yeye na wenzake walipo amuha kurudi Rwanda kwa mtutu wa bunduki, Dunia haitaki tena kushuhudia a TERA GENOCIDE kwa mara ya pili. PK hata umtishe vipi hakusikii BWANA.
 
Sasa nimeelewa kwa nini siku chache zilizo pita Kabila anatembea kifua mbele na kuhutubia kule Goma na Kisangani!

Mkuu tunapashwa kuwa wangalifu, jamaa hawa ni waigizaji mahili aingii akilini kwamba Kabila Jr ambaye aliwahi kuwa chini ya PK wakati wa mapambano ya kumuondoa Mobutu madarakani, leo hii ni sworn enemy wa PK na mjomba wake waziri wa Ulinzi Rwanda!
 
I hope Congolese watapata amani na kuendelea na misha yao kama kawaida lakini FDLR lazima isafishwe100% kwa security ya Rwanda na Congo.
 
I hope Congolese watapata amani na kuendelea na misha yao kama kawaida lakini FDLR lazima isafishwe100% kwa security ya Rwanda na Congo.
Hapo nakubaliana nawe by 100%, ila M23 wasije wakawa wanajipanga kurudi na jina jipya mfano "BLACK SEPTEMBER".
 
Hizo drone jinsi zinavyopiga automatic na protocally ipo siku watakuta maiti ya KAGAME kabutuliwa mkavu....ndo dunia atakapojua kuwa PK alikua anafanya Looting mission za madini Congo directly

hizo drone hazina uwezo wa kupiga ni maalumu kwa picha tu
 
Ni kweli mkuu. Ila nilichoona PK and co.walitaka kum double cross na kumpoteza Kabila Jr. Alipowastukia,kapoteza imani nao kafarakana na ndio yupo against them.Otherwise time will tell.
Mkuu tunapashwa kuwa wangalifu, jamaa hawa ni waigizaji mahili aingii akilini kwamba Kabila Jr ambaye aliwahi kuwa chini ya PK wakati wa mapambano ya kumuondoa Mobutu madarakani, leo hii ni sworn enemy wa PK na mjomba wake waziri wa Ulinzi Rwanda!
 
drone zinagonga palepalee hazokosei mazee.magaidi wa alqaida wamenyooka na sasa wanajiuliza nani atafuta kuuwawa.chezea drone.hakuna kupigana ana kwa ana ni kidigitali tu.
 
Back
Top Bottom