Drogba kuwa mwiba kwa mashetani wekundu?

jmushi1

Platinum Member
Nov 2, 2007
24,967
22,476
Ndugu zangu naona upepo wa Man U umewafanya wasahau kuwa kuna Didier Drogba!

Naomba maoni huku na mimi nikijiandaa na data kuwa ni kwanini Man U hawatakiwi kuwabeza mashetani wenzao wa blue!
 
Jmushi, sidhani kama Manutd fans wanawa-under rate Chelsea kwa namna yoyote na as i am the fan of Manutd still naamin fainali itakuwa tait....!

Who is Drogba to grab our attention?, of coz ni brilliant player lakini no way he can go, Vida will pocket him kama abisha akamuulize Torres what happen to him OT, may be talk about Ballack at leaaaast!!
 
...Subirini hiyo May 21 ndio mtakapojua kuwa Chelsea "The Blue" ni nani? Suala sio Drogba tu chama imetimia ile ukizingatia Ubingwa wa Premier ndio umepokwa mdomoni hasira zitaishia kwa hao hao Man Utd...
 
Kipanga,

Mimi ni Bluzz mwenzio lakini nataka nikupe taarifa kua Drogba
sio hundred percent kwa sasa.Tunasubiri hio tarehe 21 tukiomba
mungu awe poa.Link ya nyuzi hii hapa:

http://news.bbc.co.uk/sport2/hi/football/teams/c/chelsea/7394897.stm

Chelsea Worry Over Terry & Drogba

_44646109_terry_drogba_credit203.jpg

Chelsea hope John Terry and Didier Drogba will recover from injury and the pain of losing the Premier League title to play in the Champions League final.

Terry dislocated his elbow and Droga suffered a knee problem in the 1-1 draw with Bolton as Manchester United clinched the title with a win at Wigan.

But both are hopeful they will be fit to face United in Moscow on 21 May.

Terry insists he will play, but Chelsea boss Avram Grant said: "Drogba doesn't look so good, we'll have to wait."
 
Kipanga,

Mimi ni Bluzz mwenzio lakini nataka nikupe taarifa kua Drogba
sio hundred percent kwa sasa.Tunasubiri hio tarehe 21 tukiomba
mungu awe poa.
Terry insists he will play, but Chelsea boss Avram Grant said: "Drogba doesn't look so good, we'll have to wait."

Mimi kama shabiki wa Man U na nikimzungumzia mchezaji m1m1 wa bluz....then Michael Essien ndiye anayenitia shaka kidogo...he is a great fighter!
But in Moscow...forget about the cup...should be a double for Man U...not an easy catch (au mwembe wa chini) lakini tutachukua ndoo.
 
Mkuu,

why are you dismissing us with such gusto...eti forget the
cup???....wewe vipi aisee..si ni juzi tu tuliwachapa 2-1?
Why forget so quickly?...We will be there to put up a fight
and may the best man win!
 
wazee, acheni moto hata kama Drogba hatakuwepo mi nina imani forwaline iliyopo inaweza kufanya nzuri tu. jamani Kuna Barack,Kalou, Anelka, Joe Cole,Shev,Malouda watatupa tu raha...Worry not guys...
 
Tulijua sio muhimu kushinda gemu ile....ushindi dhidi ya Baca ilikua ni priority....
Anyway mkuu Ab, itakua tight game!
 
Roya Roy,

With all due respect, usituletee huo usemi wa
tulijua sio muhimu kushinda ile gemu...It waould
have put the PL title chances within reach much more
early than hii situation tulioenda till the last game.
Kwa hivyo kubal we won fare and square na sasa tupige
debe la Moscow!
 
wazee, acheni moto hata kama Drogba hatakuwepo mi nina imani forwaline iliyopo inaweza kufanya nzuri tu. jamani Kuna Barack,Kalou, Anelka, Joe Cole,Shev,Malouda watatupa tu raha...Worry not guys...

Nimekubali Kipanga!!!!
 
Roya Roy,

With all due respect, usituletee huo usemi wa
tulijua sio muhimu kushinda ile gemu...It waould
have put the PL title chances within reach much more
early than hii situation tulioenda till the last game.
Kwa hivyo kubal we won fare and square na sasa tupige
debe la Moscow!

Nimekubali Kipanga!!!!

Kwanza humu mi mpita njia tu, ngoja nikaendeleze sherehe kule kwetu!
Tungoja kitu ya Moscow.............
 
Tatizo la Drogba yeye haitaji kukimbia kimbia hovyo na mpira!

Mara zote tu beki akijipindua hata kama ni nafasi yenye pasentage ndogo ya kufunga huyu jamaa ana mikwaju ambayo iko very presize kama vile ni laser guided missile!

Asipewe nafasi ya kupiga mkwaju otherwise mengi tutasema!

Drogba huwa hata hana haja ya kutizama ye ni mkwaju tu ambao hata kipa mara nyingi huwa hana la kufanya!

Chelsea wana nafasi nzuri zaidi kwasababu Man U hawawezi kumposti mchezaji mmoja kama single sreiker upfront mithili ya blues wanapofanya wakimposti Drogba!

Hili linawasidia kina Esien,lampard, na yule mjerumani kumiliki mpira kwenye kiungo na hivyo kuwapa nafsi ngumu kian Scholes!

Anderson ndiye kiungo pekee ambaye atakuwa karata nzuri kwa Sir Alex kama akigundua hilo!

Droga ana sifa za Ronaldo combined with Tevez kwa namna moja ama nyingine kwasababu ana stamina kama Tevez, mashuti, mrefu kama Ronaldo na Mbio!

Kazi ipo!
Gemu lazima litakuwa la kukata na shoka!

Ila Drogba bado anaweza kuwa Mwiba mbaya kwa mashetani hawa wekendu!
 
Mechi ya fainali ni 50/50 hakuna mwenye nafasi ila inategemea timu iliyoamka vizuri.
Chelsea huchezesha viungo wengi ndio maana humuliki mpira but ManU huzidiwa mpira lakini wanashinda

Defence ya Chelsea siku hizi imekuwa sio nzuri ukilinganisha na MANU na JT kaumia jana
Kwa sasa player to watch in MOSCOW
CHELSEA-Carvalho,Essien,JCole,Ballack,Drogba
MANU-Evra,Vidic,Rio,Tevez,Rooney,Ronaldo
 
Alex anatosha pale nyuma Cavalho pia ni msaada mkubwa!
Ila narudia Andersom na Nani ni muhimu kwa man u!

Hata hivyo Drogba akipewa nafasi ya kujivuta then apiege shuti...Then hala hala Mashetani wekundu maana mra nyingi hata kamera zimekuwa zinapata shida kuonyesha shuti la Drogba unless wa ireplay extra slow!LOL

Si mnakumbuka lile shuti kwnye gemu na Liverpool mara baada ya Anelka kuukosa mpira? Unakumbuka kasi ya shuti na nafasi finyu aliyokuwa kaicha kipa?
 
siku hiyo moto utawaka, coz timu zote zinawachezaji wengi mahiri na wenye uwezo, hivyo itakuwa fainali kweli...
 
Alex anatosha pale nyuma Cavalho pia ni msaada mkubwa!
Ila narudia Andersom na Nani ni muhimu kwa man u!

Hata hivyo Drogba akipewa nafasi ya kujivuta then apiege shuti...Then hala hala Mashetani wekundu maana mra nyingi hata kamera zimekuwa zinapata shida kuonyesha shuti la Drogba unless wa ireplay extra slow!LOL

Si mnakumbuka lile shuti kwnye gemu na Liverpool mara baada ya Anelka kuukosa mpira? Unakumbuka kasi ya shuti na nafasi finyu aliyokuwa kaicha kipa?

mi ninachokiamini ni kuwa hakuna forwald mdanganya mabeki kama didier, kuna mechi nyingi nimekuwa namuangalia anajifanya kama kaumia vile, but beki ukijisahau then ikapigwa ndefu 50/50 utaujua ukweli kuwa kaumia au la...ni mjanja sana na ni vigumu kukabika. kuhusu john terry mi ninavyohisi jamaa aliamua tu kujipumzisha katika game ya jana kwa kujifanya kaumia ila mi najua kuwa kamanda yule yuko fit.

nahisi hii mechi wanayejua umuhimu wake kwa upande wa manchester ni paul scholes na giggs.
so ni watu muhimu kwa man.
ila wakisema sijui wawaanzishe akina nani na anderson mi naona watalia mapema....ni maoni tu
 
Nakubaliana na wewe na ndio maana unaona kuna rumours kuwa hayuko fit!
We subiri uone!
Huyu jamaa amegundua kuwa haitaji nafasi nyingi za kufunga!

Hata kama akipata chache basi ujue something must happen!

HUU UTAKUWA MWIBA MCHUNGU SANA KWA MAN U!
 
Afu ukiwaambia wanaleta ubishi!
 
si tuliona kwenye game ya marudiano dhidi ya liverpool alichokifanya?
alipata nafasi 3 za ukweli, moja akaipiga ikapita mbele ya goli na hakukuwa na mtu wa kuunganisha, yapili alifunga, na ya tatu akafunga so huyo striker anayetakiwa.
sio striker anapewa nafasi 15 anafung goli 1 je huyo ni striker profesional au?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom