Drogba kuwa mwiba kwa mashetani wekundu?

si tuliona kwenye game ya marudiano dhidi ya liverpool alichokifanya?
alipata nafasi 3 za ukweli, moja akaipiga ikapita mbele ya goli na hakukuwa na mtu wa kuunganisha, yapili alifunga, na ya tatu akafunga so huyo striker anayetakiwa.
sio striker anapewa nafasi 15 anafung goli 1 je huyo ni striker profesional au?

Sio hivyo tu!
Mabeki wa Liverpool wali chachawa kwenye gemu ya kwanza na kujikuta wakiusukumiza mpira wavuni wao wenyewe!
Kivuli tu cha Drogba hawa watu wana hunya hunya!
 
Back
Top Bottom