Ndugu zangu naona upepo wa Man U umewafanya wasahau kuwa kuna Didier Drogba!
Naomba maoni huku na mimi nikijiandaa na data kuwa ni kwanini Man U hawatakiwi kuwabeza mashetani wenzao wa blue!
Kipanga,
Mimi ni Bluzz mwenzio lakini nataka nikupe taarifa kua Drogba
sio hundred percent kwa sasa.Tunasubiri hio tarehe 21 tukiomba
mungu awe poa.
Terry insists he will play, but Chelsea boss Avram Grant said: "Drogba doesn't look so good, we'll have to wait."
Mimi kama shabiki wa Man U na nikimzungumzia mchezaji m1m1 wa bluz....then Michael Essien ndiye anayenitia shaka kidogo...he is a great fighter!
But in Moscow...forget about the cup...should be a double for Man U...not an easy catch (au mwembe wa chini) lakini tutachukua ndoo.
Mkuu,
why are you dismissing us with such gusto...eti forget the
cup???....wewe vipi aisee..si ni juzi tu tuliwachapa 2-1?
Why forget so quickly?...We will be there to put up a fight
and may the best man win!
Tulijua sio muhimu kushinda gemu ile....ushindi dhidi ya Baca ilikua ni priority....
Anyway mkuu Ab, itakua tight game!
wazee, acheni moto hata kama Drogba hatakuwepo mi nina imani forwaline iliyopo inaweza kufanya nzuri tu. jamani Kuna Barack,Kalou, Anelka, Joe Cole,Shev,Malouda watatupa tu raha...Worry not guys...
Roya Roy,
With all due respect, usituletee huo usemi wa
tulijua sio muhimu kushinda ile gemu...It waould
have put the PL title chances within reach much more
early than hii situation tulioenda till the last game.
Kwa hivyo kubal we won fare and square na sasa tupige
debe la Moscow!
Nimekubali Kipanga!!!!
Mechi ya fainali ni 50/50 hakuna mwenye nafasi ila inategemea timu iliyoamka vizuri.
Chelsea huchezesha viungo wengi ndio maana humuliki mpira but ManU huzidiwa mpira lakini wanashinda
Defence ya Chelsea siku hizi imekuwa sio nzuri ukilinganisha na MANU na JT kaumia jana
Kwa sasa player to watch in MOSCOW
CHELSEA-Carvalho,Essien,JCole,Ballack,Drogba
MANU-Evra,Vidic,Rio,Tevez,Rooney,Ronaldo
Alex anatosha pale nyuma Cavalho pia ni msaada mkubwa!
Ila narudia Andersom na Nani ni muhimu kwa man u!
Hata hivyo Drogba akipewa nafasi ya kujivuta then apiege shuti...Then hala hala Mashetani wekundu maana mra nyingi hata kamera zimekuwa zinapata shida kuonyesha shuti la Drogba unless wa ireplay extra slow!LOL
Si mnakumbuka lile shuti kwnye gemu na Liverpool mara baada ya Anelka kuukosa mpira? Unakumbuka kasi ya shuti na nafasi finyu aliyokuwa kaicha kipa?
mi ninachokiamini ni kuwa hakuna forwald mdanganya mabeki kama didier, kuna mechi nyingi nimekuwa namuangalia anajifanya kama kaumia vile, but beki ukijisahau then ikapigwa ndefu 50/50 utaujua ukweli kuwa kaumia au la...ni mjanja sana na ni vigumu kukabika. kuhusu john terry mi ninavyohisi jamaa aliamua tu kujipumzisha katika game ya jana kwa kujifanya kaumia ila mi najua kuwa kamanda yule yuko fit.
nahisi hii mechi wanayejua umuhimu wake kwa upande wa manchester ni paul scholes na giggs.
so ni watu muhimu kwa man.
ila wakisema sijui wawaanzishe akina nani na anderson mi naona watalia mapema....ni maoni tu
Kwanza humu mi mpita njia tu, ngoja nikaendeleze sherehe kule kwetu!
Tungoja kitu ya Moscow.............
Nakubaliana na wewe na ndio maana unaona kuna rumours kuwa hayuko fit!
We subiri uone!
Huyu jamaa amegundua kuwa haitaji nafasi nyingi za kufunga!
Hata kama akipata chache basi ujue something must happen!
HUU UTAKUWA MWIBA MCHUNGU SANA KWA MAN U!