Driving school ipi nzuri Dar?

Malingumu

JF-Expert Member
Apr 5, 2012
616
429
Wadau,

Nataka niingie shule ya udereva kwa sasa naomba mnijuze ni 'driving school' ipi ni nzuri na inatoa huduma ya uhakika nipo maeneo ya tegeta na ningefurahi kama isingekuwa mbali sana na huku.

Karibuni!
 
Wadau...
nataka niingie shule ya udereva kwa sasa ...naomba mnijuze ni 'driving school' ipi ni nzuri na inatoa huduma ya uhakika...
nipo maeneo ya tegeta na ningefurahi kama isingekuwa mbali sana na huku...
.
karibuni...!!!
Pale afrikana karibu na Camel kuna driving school inaitwa Mlimani ni nzuri gari zao ni nzima imara na sio mbovu utainjoy sana, dakika 30 highway kila siku ndani ya siku 21 wewe ni dereva utakuwa umebakiza ile confidence ya kutulia tu highway. Join them.

****************MLIMANI DRIVING SCHOOL.*******************

Tunatoa coz ya udereva wa magari kwa muda wa mwezi mmoja.magari yetu ni mapya yenye kiyoyozi.
Tupo mwenge mlalakua/mbezi beach africana/tegeta kibaoni.
Tell 0765 909089/0712722157/0758257273.
WE TEACH YOU TO DRIVE.
277962_170488459753666_1096526593_o.jpeg
 
Ukitaka kujua udereva vizuri jifunzie driving yenye magari mabovu tena manual utapata nafasi ya kujua yote mawili udereva na umakenika.

Sababu kila gari likienda kidogo mara limechemsha mwalimu anakuambia kutatua hili tatizo fanya hivi,mara linapata pancha sababu tairi vipara,Mnashuka unaelekezwa jinsi ya kubadili tairi.Ukimaliza KOZI full dereva full makenika.HA HA HA
 
Ukitaka kujua udereva vizuri jifunzie driving yenye magari mabovu tena manual utapata nafasi ya kujua yote mawili udereva na umakenika.Sababu kila gari likienda kidogo mara limechemsha mwalimu anakuambia kutatua hili tatizo fanya hivi,mara linapata pancha sababu tairi vipara,Mnashuka unaelekezwa jinsi ya kubadili tairi.Ukimaliza KOZI full dereva full makenika.HA HA HA
 
hahahahaahh, YEHODAYA hahahahahaahhah hilo nalo neno
 
Pale afrikana karibu na Camel kuna driving school inaitwa Mlimani ni nzuri gari zao ni nzima imara na sio mbovu utainjoy sana, dakika 30 highway kila siku ndani ya siku 21 wewe ni dereva utakuwa umebakiza ile confidence ya kutulia tu highway. Join them...
Gharama zenu zipoje?
 
Kiongozi, Jerhy upo vizuri. Nimependa jinsi ulivyokuja na advert ya haraka...
 
Njoo driving school ya police ufundi kurasini, magari ni manual na madereva ni mafundi Pia utasoma theory kwanza then utaingia practice gar ni za kutosha na pia unafundishwa na umakenika achana na hizo automatic hata asiyejifunza hayo anaendesha, Njoo uwe na uwezo wa kutumia gar Aina zote.
 
Gharama ni kiasi gani na inachukua muda gani?
 
Njoo driving school ya police ufundi kurasini, magari ni manual na madereva ni mafundi Pia utasoma theory kwanza then utaingia practice gar ni za kutosha na pia unafundishwa na umakenika achana na hizo automatic hata asiyejifunza hayo anaendesha, Njoo uwe na uwezo wa kutumia gar Aina zote.
Contact?
 
Hawa kwa sasa ni Matapeli tu...!!
Walimu wameendekeza Rushwa na Ngono..!

Matokeo ya mtihani yanaandaliwa masiku nyuma kabla ya mtihani husika...!

Kwa kweli kuna walimu baadhi wasipobadili tabia hizi, wanaiharibu moja kwa moja sifa ya Chuo hiki...
 
Kiongozi, Jerhy upo vizuri. Nimependa jinsi ulivyokuja na advert ya haraka...
Hawa MLIMANI DRIVING SCHOOL sio kabisa walimu wao wengi wababaishaji sana, unalipa ofisini ada njian unaombwa tena hela. Na usipowapa ujue wanakutolea lugha chafu Na ufundishaji mbovu kabisa. Wana magari lakin walimu hawafai.
 
Back
Top Bottom