Driving license


D

De Fantastico

Member
Joined
Nov 30, 2018
Messages
15
Points
45
D

De Fantastico

Member
Joined Nov 30, 2018
15 45
Hv kuna app gani unaweza kutumia kujua madaraja ya driving licence ya mtu kwa Tanzania hasa kwa hawa wanaotumia makaratasi ya risiri za tra kutokana na kukosa vikadi? Na kwa kawaida inachukua muda gani kupata ile electronic license baada ya kuilipia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,286,026
Members 494,871
Posts 30,882,470
Top