Driver za sauti zimegoma kwenye pc.

tizo1

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
856
145
Habari za wakati watblam.Nimeweka window xp 2006 kwenye dell gx270,nilipomaliza nikaweka driver za sauti lakini imegoma kabisa wakati zamani ilikuwa inakubali.Message ninayoipata ni hii.Cannot install.SET UP or INSTALL program file name contain folder information.Use checkout in the Action Menu Instead.
Msaada jamani
 
Right click My Computer, then Manage...pale update driver software za sound!!

Internet must be!!
 
Tafuta universal drives than u instal ikitataa ujue imekufa saund card buku 15000 tu
 
right click my computer-properties-hardware-device manager then angalia sehemu ya sound, video games and controllers kama kuna sehemu inaonyesha alama ya njano ya kuuliza kama hamna angalia pia mahali pengine popote kama kuna alama ya kuuliza...ukiona ipo ujue drivers zake hazijaingia either ni sababu hiyo software uliyotumia imecorrupt files zake au sio drivers zake..so chamsingi ni kutafuta drivers zake vizuri kwa kwenda kwenye linki hii : Drivers & Downloads na ku download drivers husika..
Kama hmna alama yoyote ya kuuliza na kila kitu kipo sawa basi tatizo litakuwa kwenye card ya sauti(sound card) hapo itakubidi ujaribu kuifungua computer yako kisha itoe hiyo card then washa mashine afu uzime kisha uirudishie tena hiyo card,,,ukiwasha tena PC yako itabidi ije ile notification ya found new hardware...isipoleta hiyo basi jua card yako imekufa mkuu!
 
Right click My Computer, then Manage...pale update driver software za sound!!

Internet must be!!
Internet yenyewe lazima iwe ya LAN nikiwa na maana ya cable and not modems ndo itakubali kuupdate
 
Internet yenyewe lazima iwe ya LAN nikiwa na maana ya cable and not modems ndo itakubali kuupdate

Unaweza kufafanua kitaalam kwa nini ni kwa kutumia cable tu ndio mtu anaweza kuupdate na sio modem kama ulivyosema
 
Unaweza kufafanua kitaalam kwa nini ni kwa kutumia cable tu ndio mtu anaweza kuupdate na sio modem kama ulivyosema

mkuu mbona unapoteza muda na nguvu zako kwa mtu aliyekariri??? hivi vyou vya kata......... haiwezekani computer iweze kubrowse kwa modem ila isifanye updates!!!
 
mkuu mbona unapoteza muda na nguvu zako kwa mtu aliyekariri??? hivi vyou vya kata......... haiwezekani computer iweze kubrowse kwa modem ila isifanye updates!!!

Kweli mkuu majibu mengine duh. Hope hayatamchanganya muuliza swali

Namshauri huyo mwenye shida ajaribu kupakua file hizi tatu kutoka kwenye tovuti ya dell
Drivers za sauti Dell gx270
 
Ila nakumbuka kwa moderm mi ilinikatatlia kuupdate, so huenda huyo jamaa aliyesuggest cable yuko sahihi
 
Ila nakumbuka kwa moderm mi ilinikatatlia kuupdate, so huenda huyo jamaa aliyesuggest cable yuko sahihi

Je ulifanya uchunguzi kujua sabbau kwa nini ilikukatalia?
  • Ni network ndogo na isyo na nguvu ?
  • ni bandiwdth anayotoa provider?
  • au Ni teknolojia ya modem hairushu ku-update hata ungekuwa na bandwidth kubwa ?
Fanya uchunguzi utagundua kuwa Modem kama modem kiteknolojia haina tatizo katika kudowload hata iwe ni file au movie ya 1 GB
 
Nimeweka window xp 2006
Hakuna kitu kinachoitwa "window xp 2006," kwa hiyo mpaka hapo tu nakutilia mashaka na unachofanya huko, inawezekana hata unachokiita drivers inaweza kuwa ni codecs zina miss, au huna audio player at all unasema "drivers," au sound settings iko at zero volume, who knows?
 
Habari za wakati watblam.Nimeweka window xp 2006 kwenye dell gx270,nilipomaliza nikaweka driver za sauti lakini imegoma kabisa wakati zamani ilikuwa inakubali.Message ninayoipata ni hii.Cannot install.SET UP or INSTALL program file name contain folder information.Use checkout in the Action Menu Instead.<br />
Msaada jamani
<br />
<br />
mambo vp mkubwa? Kama bado tatizo lako hujapatia ufumbuzi ingia www.btjunkie.org then ile sehemu ya kusearch andika software inaitwa Driver Genius, then fanya kuiclick matokeo ya search yako afu download hiyo software. Baada ya hapo install kwa mashine yako afu utascan na itakuonyesha hiyo missing driver na utaidownload bure. Nichek kama utakwama
 
Instal mojawapo kati ya hizi then restart computer yako..zote ni za Windows XP, tupe na feedback,,,,,,,,,,,:drum:
 

Attachments

  • Vinyl_AudioCodec_V650a (XP).zip
    6.2 MB · Views: 23
  • sound device driver (XP).zip
    5.4 MB · Views: 39
Asanteni kwa maelezo yenu.NIMEFANIKIWA NA NINAKULA RAHA KAMA KAWAIDAAA.
Asante Wataalamu.
Asante JF.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom