Driver za acer | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Driver za acer

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mpita Njia, May 27, 2009.

 1. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Nina lap top ambayo kirus kimekuwa operating file. utaalamu wangu mdogo kwenye mambo ya compyuta umenifanya nifikie uamuzi kuwa the best solution to ku-reformat the lap top. Lakini nimegundua kuwa sina driver za lap top yangu (acer-aspire 5600).
  Sasa waungwana naomba mnisaidi;
  Je hiyo ni best solution kwa tatizo hilo?
  Wapi naweza kupata drivers za hiyo laptop ili nimtafute fund wa kuiforma upya? (kama zinapatikana online itakuwa bomba zaid).
   
 2. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2009
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Use any Search Engine for drivers au kama cd iliyokuja na hiyo laptop unaweza kurestore drivers.
   
 3. JosM

  JosM JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2009
  Joined: Oct 11, 2008
  Messages: 684
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
 4. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kwa bahari mbaya aliyeniuzia hakunipa cd ya driver (hilo nimeligundua baada ya tatizo hili). na kuseravh nilijua ni option lakini nilitaka msaada hapa kama kuna mtu anaifahamu site ambayo ni safe. Thank for you response
   
 5. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #5
  May 27, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
 6. JosM

  JosM JF-Expert Member

  #6
  May 27, 2009
  Joined: Oct 11, 2008
  Messages: 684
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hiyo site niliyo kuwekea hapo juu iko safe kabisa usiwe na wasi wasi.
   
 7. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #7
  May 27, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mkuu nakushauri ujisalimishe kwa wenye brand yao hapa usipoteze muda kuzungukazunguka kwingine..
   
 8. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #8
  May 27, 2009
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
Loading...