Dream team ya michuzi

chama

JF-Expert Member
Aug 6, 2010
8,001
0
Picha%2Bno%2B11.JPGMichuzi anadai kikosi hiki kikosi ni dream team, je watanzania tutegemee kitu gani kutoka kwa viongozi hawa? sioni sura mpya hapa, mwendo mpya, kasi mpya..........
 

MULANGIRA

Member
Oct 10, 2010
74
0
Si tu ni wachakachuaji kura bali wa demokrasia. Hawa wanahusika katika kuua demokrasia Tanzania. Michuzi ni mganga njaa ameneemeka kwa kujipendekeza kwao na kesha futa umaskini wake. Yeye ni mpaliliaji wa ufisadi kwani unampatia chakula chake cha kila siku.
 

Nyambala

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
4,468
2,000
Hamna mwenye chini ya 60 hapo, du hivi kumbe ni hawa ndiyo tumewakabidhi hatima ya nchi yetu?
 

Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,980
2,000
Picha%2Bno%2B11.JPGMichuzi anadai kikosi hiki kikosi ni dream team, je watanzania tutegemee kitu gani kutoka kwa viongozi hawa? sioni sura mpya hapa, mwendo mpya, kasi mpya..........

waiziiiii!!!! Vibakaaaa!!!!
 

njiwa

JF-Expert Member
Apr 16, 2009
12,039
2,000
bilal naona uso wa mbuzi .. hata tabasamu la mbali hakuna
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom