Dreads | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dreads

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Born Star, Jun 22, 2012.

 1. Born Star

  Born Star JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: Oct 24, 2011
  Messages: 224
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Kuna watu wana dreads chafu pia kuna watu wana dreads safi hivi ili dreads ziwe safi na za kuvutia kuna vitu gani vya kuzingatia pleas
   
 2. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,419
  Likes Received: 1,726
  Trophy Points: 280
  Mshipa wangu wa ngiri umepanda nimempigia simu daktari wa hapo hospitali ya jirani kasema atakuwa kwenye kikao kisicho na mwisho, nadhani ndio mgomo huo. Uwiiii! nafwa! Hebu nipishe wewe na mi-dreads yako inayonuka! Kwapa, mav.uzi ujuhi kuyaosha na kunyoa, itakuwaje na hilo chaka la nywele? Utapata wapi hela za mayai na mapalachichi kuoshea hizo rasta zako? Nina hasira mimi, hebu tuondokee hapa.
   
 3. CUTE

  CUTE JF-Expert Member

  #3
  Jun 23, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 1,237
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kuna mafuta yake shampoo zake na spray zake pia unaweza kununua dukani au kua unaenda kuosha na kufanya madikodiko yote saluni ...zikiwasafi na zakunukia vizur hua zinavutia sana na kupendeza pia....dreads zinataka usafi wa hali ya juu la sivo utaishia kunuka
   
 4. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 3,274
  Likes Received: 448
  Trophy Points: 180
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Jun 25, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,382
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 180
  Ngoja nikuwekee picha yangu uzione
   
 6. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #6
  Jun 26, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,575
  Likes Received: 776
  Trophy Points: 280
  Whats up CUTE?
  Hujambo, nimekumiss sana, I repeat, the other thread nilikusalimu ukapoteza, WTF? Dreads za fasheni zinataka matunzo sana, ila dreadlocks za bhange, just ziwepo tu, quite enough.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. CUTE

  CUTE JF-Expert Member

  #7
  Jun 26, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 1,237
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mtu chake ziko wapi jamani
   
 8. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #8
  Jun 27, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 3,274
  Likes Received: 448
  Trophy Points: 180
  ..kichwani...
   
Loading...