Dreadlocks!

Apollo

JF-Expert Member
May 26, 2011
4,920
3,211
Dreadlocks, ni aina ya nywele ambayo ina historia kubwa kwa mwanadamu kabla ya style yoyote ya nywele, ni style inayotumika kiimani mfano imani ya Uhindi (Saddhus), Some of Tibetian Buddhists (Ngagpas of Tibet), Uyahudi (Nazarines peoples from Number:6), Hamitic people of North Africa, Watakatifu wa Ethiopia na Oromos wa Ethiopia, Wasemitic, Wamisri wa zamani, Watakatifu wa Spartan wa ugiriki, na Kwenye uislam kuna wasufi wanaitwa Qalandariala (They have natural dreadlocks) na Rastafarians (katika sects zote za Orthodox, Twelve tribes of Judah, Bobo Shanti na Spirituals). Pia kuachana na Imani imekuwa ni style kuonyesha jinsi unavyoheshimu your natural hair (Kwa Non-Africans and Africans.

Ushahidi wa kiakiolojia wa kale unaonyesha haina hii ya nywele kiimani imeanza kutumika miaka kati ya 5000BC - 4500BC na inasignificance kubwa sana katika imani nyingi.

Kwa miaka ya sasa watu wamesahau heshima yake, ila wapo watu ambao wanapenda dreadlocks na wanazo, wanazitunza na kuzijali bila matatizo yoyote na wakiendelea kufanya shughuli zao za kimaendeleo (Sizungumzii wahuni wa mitaani). Pia wapo wengine wanazo kwa sababu ya Imani na wengine kwa sababu ya fashion.

I decided to start this topic, for people who loves Dreads and being Natural, so we can share amazing pics from this style.

NB: Sio kila mwenye Dreads ni muhuni, Uhuni ni tabia ya mtu na sio nywele. You can still wear your Dreads na ukaendelea kuwa na heshima yako na kuheshimiwa.

Feel free to share any Dreadlocks' pictures if you have.
images

Mohawk-Style-With-Dreadlocks.jpeg

locs-and-twist-curl_full_full1.jpg

bbe72fa97f07e9118ba84aaeef0c8639.jpg

images

4ce4bc2dac3dfa0dc287c9bb550993e1.jpg

images

african-men-dreadlock-styles-with-glass-ideas-55fb7cba62cfc.jpg

style-dreads-3.jpg

351656994545e45a7dc82709effbb0c8.jpg

style-dreads-1.jpg

4499d8cc678367e64236183e81ac8199.jpg

ebbd3b6e8df35fc406c924310156dd38.jpg

2d.jpg

dreadlock-bridal-hairstyles.jpeg

Dreadlock-Styles-For-Black-Men-Design-Pictures-005.jpg

Dreadlocks, ni aina ya nywele ambayo ina historia kubwa kwa mwanadamu kabla ya style yoyote ya nywele, ni style inayotumika kiimani mfano imani ya Uhindi (Saddhus), Some of Tibetian Buddhists (Ngagpas of Tibet), Uyahudi (Nazarines peoples from Number:6), Hamitic people of North Africa, Watakatifu wa Ethiopia na Oromos wa Ethiopia, Wasemitic, Wamisri wa zamani, Watakatifu wa Spartan wa ugiriki, na Kwenye uislam kuna wasufi wanaitwa Qalandariala (They have natural dreadlocks) na Rastafarians (katika sects zote za Orthodox, Twelve tribes of Judah, Bobo Shanti na Spirituals). Pia kuachana na Imani imekuwa ni style kuonyesha jinsi unavyoheshimu your natural hair (Kwa Non-Africans and Africans.

Ushahidi wa kiakiolojia wa kale unaonyesha haina hii ya nywele kiimani imeanza kutumika miaka kati ya 5000BC - 4500BC na inasignificance kubwa sana katika imani nyingi.

Kwa miaka ya sasa watu wamesahau heshima yake, ila wapo watu ambao wanapenda dreadlocks na wanazo, wanazitunza na kuzijali bila matatizo yoyote na wakiendelea kufanya shughuli zao za kimaendeleo (Sizungumzii wahuni wa mitaani). Pia wapo wengine wanazo kwa sababu ya Imani na wengine kwa sababu ya fashion.

I decided to start this topic, for people who loves Dreads and being Natural, so we can share amazing pics from this style.

NB: Sio kila mwenye Dreads ni muhuni, Uhuni ni tabia ya mtu na sio nywele. You can still wear your Dreads na ukaendelea kuwa na heshima yako na kuheshimiwa.

Feel free to share any Dreadlocks' pictures if you have.

182327_403863266382286_1947338496_n.jpg

Huyu kijana ana tofauti gani na dada yake?Kwa jinsi alivyoweka hizo Dreadlocks?Unaweza kumtongoza ukafikiri ni mwanamke kumbe ni Mwanamme mwenzako. Kwa Mwanamke kuweka hizo dreadlocks ni mapambo kwa Mwanamme kidini ya Kiisilam haifai Mwanamme kujifananisha kama Mwanamke ni Haramu kwa dini ya kiislam sijuwi kwa imani yako wewe?
 
MziziMkavu, Kwa imani yangu mimi as long as they are natural is ok (no chemical process). Huyo kijana sijaona cha kumfananisha na mwanamke maana hajareetwist saloon, may be ni perspective yako (huyo ni mtoto hata ndevu hana). Hujaona watu wenye natural dreads zinazokuwa zinalingana?, inatokana na aina ya nywele na jinsi unavyozitrim tangu zikiwa changa.

Pia, dreadlocks sio kwa wanawake ndio mapambo. Uislam ninavyoufahamu hata mwanaume anaruhusiwa (pia ni ni suna, as long as they are not chemically formed either kwa jelly au wax.

This topic sio kwa ajili ya spiritual dreads tu. Blessings.
 
Kwa Dini ya Kiislam kuna vitu vilivyoharamishwa kwa

Mwanamme asivitumie usije kwamba kwa sababu wewe unatumia na wengine unataka watumie hicho

katika Uislam hakuna kabisa. Dini ya Kiislam imekamilika na

hakuna kitu kilicho achwa katika sheria za dini kama wewe si muislam hapo siwezi kukuingilia

kwenye imani yako.Wengi hao wanafuata mtindo wa kuweka hizo Dreadlocks huwa hawafuati dini

ya kiislam wanakuwa ni waislam lakini waislam jina tu. Kila kitu kina sheria zake na mipaka yake

kila Dini ina sheria zake na mipaka yake ukipenda wewe weka na mimi sitoweka kwa sababu

siwezi mimi Mwanamme nikafananishwa na mwanamke ki dini yangu ni Haramu asante.
 
Ok MziziMkavu. Comment yako ya kwanza nilikuwa nakuelewa ila comment yako hii ndio bado sijaelewa.

Unaposema watu wa imani yangu wengi wenye dreadlocks hawafuati dini una maana gani? Kwenye imani yangu mimi dreadlocks ni alama ya Nadhiri kuwa natural na kuacha attachments za kibinadamu na mtu mwenye Locked hair anaheshima kubwa sana kwetu, inaashiria amejitoa katika tamaa za kimwili, ameweka nadhiri, ana wisdom, na ni mnazareti. Ndio maana tunaacha nywele zitu kama zilivyoumbwa. Mambo ya kuchana nywele ni idea za mwanadamu, ila mwanadamu wa kale aliacha nywele zake bila kuziharibu mpangilio wake. Ila kama wakati nywele zinaanza kujiweka kuwa locks zenyewe tunaruhusiwa kuzitenganisha ili iwe rahisi kuzimaintain na kiwa safi. Ila haitakiwi kutumia kemikali yoyote ile. Hii sio sheria ya imanj yangu tu, ni sheria ya Wayahudi mpaka leo hii Marabi wa kiyahudi huvaa hivyo, ni Sheria ya Ethiopian Orthodox, wasuni wa kiislam pia wapo wenye locks, Watakatifu wa kihindi na monks wa Tibet huamini hivyo. Sijaona imani inayokataa Natural-locks kwa sababu ni Natural thing, you cant ban nature.

Kuhusu mwanaume kuwa mwanamke, wapo wanaume wanaoanza locks saloon na kuzisokota saluni mara kwa mara, hao kwao ni mapambo. Kwa imani yangu hairuhusiwi, kwa sababu they use chemicals. Kumbuka kuna Natural locks na Artificial Locks ni tofauti.

Pia watu wa Imani yangu hawarihusiwi kinyoa ndevu sana maana taratibu za kunyoa ndevu zimeandikwa kwenye Torah. Almost the same with Islam.

I respect all religions na pia nafahamu kikamilifu kuwa NATURAL Dreadlocks zina heshima kubwa katika Imani karibia zote. Soma maelezo mwanzo mwa topic. Asante.
 
Personally napenda kuangalia watu wenye dreadlocks. Kinachonitibua ni pale mtu ana dreadlocks halafu ni chafu na yeye mwenyewe ni mchafu, locks zinataka usafi. Hata Lucky dube alishasisitiza usafi wa locks

Ndio. Kwa kuwa ni Holly Hair style, lazima ziwe safi maana ni agano lako mwanadamu na Mungu. Hata biblia imesema Locks lazima ziwe safi na haruhusiwi mtu mwenye maovu akuguse nywele atakuweka unajisi. Asante.
 
MziziMkavu. Locks kwa wayahudi zina heshima kubwa sana. Watu ambao they are Holly kwa waisraeli ni Priests na Rabis pamoja na Wanazareti, Wanazareti wanaheshimiwa zaidi ya mapriest na marabi wa kiyahudi, na wanazareti wa sheria kuu tatu katika maisha yao, Hawatakiwi kugusa wala kuonja pombe wala kugusa mzabibu au product yoyote ya mzabibu, lazina wawe na Locks (Natural locks) na hawatakiwi kudhuru kiumbe chochote either kukipiga au kukila wala kugusa maiti, thats why they are vegetarians.

Wapo kina Samson, Yohane Mbatizaji, Samweli, na wengine wengi ambao Mungu aliwataka wawe Wanazareth. Unazareti upo wa aina tatu, wa kuzaliwa yaani tangu mdogo au upo tumboni mama yako anaambiwa asikate nywele zako kwamwe, kuna unazareti wa muda mfano unaamua kuwa manazareti kwa miaka kadhaa kwa ajili ya kuomba msamaha kwa YHWH hasa kwa mtu aliyefanya dhambi kuwa anatakiwa afanye hivyo kana sehemu ya toba na kuna unazidi wa milele mfano hujazaliwa mnaziri ila unaamua kuwa mnazarethi kwa ajili ya kumtukuza Mungu. Hata Yesu alisema Itakuwa mara ya mwisho kwake na hatakigusa kikombe cha mzabibu mpaka Agano litakapotimia kumaanisha kuwa Mnaziri na ndio kauli wana wa israeli hufanya wakati wanaanza kuwa wanadhiri.

Natural Locks from The bible zimeandikwa pia,

Numbers 6:5

“All the days of his vow of separation, no razor shall touch his head. Until the time is completed for which he separates himself to the Lord, he shall be holy. He shall let the locks of hair of his head grow long.

Judges 16:13

Then Delilah said to Samson, “Until now you have mocked me and told me lies. Tell me how you might be bound.” And he said to her, “If you weave the seven locks of my head with the web and fasten it tight with the pin, then I shall become weak and be like any other man.”

Ezekiel 44:20

They shall not shave their heads or let their locks grow long; they shall surely trim the hair of their heads.

Leviticus 21:5

They shall not make bald patches on their heads, nor shave off the edges of their beards, nor make any cuts on their body.

1 Samuel 1:11

And she vowed a vow and said, “O Lord of hosts, if you will indeed look on the affliction of your servant and remember me and not forget your servant, but will give to your servant a son, then I will give him to the Lord all the days of his life, and no razor shall touch his head.”

Judges 16:19

She made him sleep on her knees. And she called a man and had him shave off the seven locks of his head. Then she began to torment him, and his strength left him.

Ezekiel 8:3

He put out the form of a hand and took me by a lock of my head, and the Spirit lifted me up between earth and heaven and brought me in visions of God to Jerusalem, to the entrance of the gateway of the inner court that faces north, where was the seat of the image of jealousy, which provokes to jealousy.

2 Samuel 14:26

And when he cut the hair of his head (for at the end of every year he used to cut it; when it was heavy on him, he cut it), he weighed the hair of his head, two hundred shekels by the king's weight.

John 3:16-17

“For God so loved the world, that he gave his only Son, that whoever believes in him should not perish but have eternal life. For God did not send his Son into the world to condemn the world, but in order that the world might be saved through him.

Ukisoma katika sayansi, long natural hair kama dreadlocks zinasaidia katika meditation kwa sababu zinabalance energy ya mwili na Energy ya Universe. Ni kitu cha kushangaza kwa sababu wahindi na waisraeli tangu zamani walikuwa wanaamini hivyo. Mungu mkuu wa wahindu Shiva ana locks na alikuwa nazo kwa sababu mythology ya wahindu inasema locks zinabalance frequency za mwili na surrounding environment. Hawa dada zetu wanaoweka nywele dawa wanazuia ability ya mwili kubalance frequency za mwili na surrounding energy.
 
Mi napenda sana dread locks na nimeanza kusokota. Naona ni kama style ya nywele ya kawaida inayohitaji matunzo sana. Ia inahitaji uvumilivu ukiwa unaanza maana hadi zishike fresh inatumia mda. Na katika kipindi hiki cha mwanzo ndo nywele huonekana rough, lakini zikishashika ziko vizuri Tu.
Watu watofautishe tango ya nywele na uchafu. Kuna watu natural hair zao ni nyekundu na hawataki kuweka super black. Sass ukikutana na watu wa style hii unaweza ukadhani nywele zake ni chafu kumbe ni tango ya nywele zake.
Ila all in all, dreads ni sana ILA matunzo yake Hasa ya awali ni expensive kuliko nywele za kawaida.
 
kubalance friquency ya mwili na enviro..... mmmmh hapo bado sijaelewa!!! vp is it applicable hata kwa wanaosuka rasta????
 
kubalance friquency ya mwili na enviro..... mmmmh hapo bado sijaelewa!!! vp is it applicable hata kwa wanaosuka rasta????

Ok. Ngoja nikueleweshe vyema.
Ulishawahi kushika umeme ukaona nywele zimesimama au kushtuka kitu mpaka ukahisi kuna energy imepita kwenye nywele au vinyweleo? That was not a joke kwenye Cartoons, ni physics. Nywele ni part ya mwanadamu inayohisi Umeme na mawimbi ya Universe, just like Antena. Is not a myth is a science. Hakuna neva za ukuaji zinazotoka kwenye ubongo kwenda kwenye nywele, hivyo ni kitu cha kushangaza jinsi nywele inavyokuwa kwa kujitegemea. Kumbuka mwanadamu peke yake duniani ndie kiumbe maarufu mwenye nywele zinazokuwa continuously katika maisha yake, not compared na primates wengine kama sokwe au nyani.

Katika surrounding environment kuna frequency kama mawimbi katika Universe yote. Kila kiungo pia kina frequency yake kutokana na energy inayotumika mfano Brain frequency ni 80-82 MHz. Hair inaweza kusense kama frequence imezidi ikabalance frequencies za ndani ya mwili na nje ya mwili.

Sema sasa, nywele inatakiwa iwe natural kuboost uwezo wake. Mtu mwenye nywele zenye dawa, nywele zake hazina uwezo tena maana ndani ya nywele ya asili kuna mpangilio wa particles ambazo zinatakiwa ziwe katika natural state fulani ili ifanye kazi, bila hivyo ni kama una kamba kichwani na sio nywele tena maana haina kazi tena.

Kwa nywele inayosukwa na kukazwa mara kwa mara wakati wa kusuka ina upungua uwezo ila kidogo sana. Sio kulinganisha na nywele zinazowekewa dawa muda wote.

Ndio maana watu wa kale walihisi nywele zina power na kukupa wisdom katika meditation. Just like samson!
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom