neggirl
JF-Expert Member
- Jul 30, 2009
- 4,843
- 2,117
Duduwasha.. HatariiiiBebs wanasaidia sana.......kama hakuwa anazisifia na kunipa moyo......wallah nilikuwa natoa.......mwanzoni unafanana na duduwasha kabisa.......
Duduwasha.. HatariiiiBebs wanasaidia sana.......kama hakuwa anazisifia na kunipa moyo......wallah nilikuwa natoa.......mwanzoni unafanana na duduwasha kabisa.......
Huyu abasi yuko mwenge sehemu gani. Mara nyingi natengeneza kwa Fita.. Sinza kumekucha. But natamani kuwa na alternative nyingi hasa muda wangu ukiwa umebana.Ha ha ha lol wamjua abas yap, huwa natengenezea kwake nikiwa dar pia kuna dada mmoja yupo karibu na bar flani nikikumbuka jina ntakuambia ipo pale barabarani tu Mwenge anatengeneza vzr ndio amerepair hizo zangu
@dardreadlockmaster yupo makumbushoHuyu abasi yuko mwenge sehemu gani. Mara nyingi natengeneza kwa Fita.. Sinza kumekucha. But natamani kuwa na alternative nyingi hasa muda wangu ukiwa umebana.
Na huwa ana watu wengi sana?
Anaitwa nani? Na ni makumbusho sehemu gani@dardreadlockmaster yupo makumbusho
Anaitwa shukuru yupo makumbusho karibu na wanapouza viatu. kama unatumia instagram follow @dardreadlocksmasters . Yuko poa sana.Anaitwa nani? Na ni makumbusho sehemu gani
Thax #tattyAnaitwa shukuru yupo makumbusho karibu na wanapouza viatu. kama unatumia instagram follow @dardreadlocksmasters . Yuko poa sana.
Karibu.Thax #tatty
Abasi hana foleni kiivo make huwa wapo jamaa watano wote wanaotengeneza, yupo Mwenge opposite na tamal hotelHuyu abasi yuko mwenge sehemu gani. Mara nyingi natengeneza kwa Fita.. Sinza kumekucha. But natamani kuwa na alternative nyingi hasa muda wangu ukiwa umebana.
Na huwa ana watu wengi sana?
Me naona kama umesuka dreadlocks unaweza kukaa nazo hâta mwez,halafu ukafumua na kuzisuka tena na ukitaka kuzitwist tena unaweza kukaa hâta miezi 6,inategemea na nani anazitwist maana kuna watu wanatwist dreadlocks baada ya week 2 chaliSio dreadlocks labda rasta za kichina dreads usipoenda saloon wiki mbili zinachakaa, zinaota huwezi kukaa lazma zioshwe na kutengenezwa kila baada ya wiki au wiki mbili
Huyo abasi anatumia products za asili(natural)??Abasi hana foleni kiivo make huwa wapo jamaa watano wote wanaotengeneza, yupo Mwenge opposite na tamal hotel
Pia kuna mdada yupo pembeni ya calabash hapo hapo Mwenge nae yupo vizuri sana huyu anastyles nyingi za kusuka ila kwa Abasi kuna maximum repair ana kutengeneza vizuri anatumia sindano kuzinyoosha
Ndo zipi hizo? Anaosha na shampoo ya kawaida, mafuta ya radiant, anatumia yale mafuta ya dreads na gel nyeusi kidogoHuyo abasi anatumia products za asili(natural)??
Namaanisha kama anatumia products za mchanganyiko wa matunda kama nanasi,papai anachanganya pamoja na mafuta ya vinegar huwa yanasaidia kutoa vumbi lililoko kwenye nywele...,hiyo shampoo ya kawaida hipoje??ni zile za madukani ambazo zina kemikali ndani au(yani zimetengenezwa viwandani na sio home Made)???Ndo zipi hizo? Anaosha na shampoo ya kawaida, mafuta ya radiant, anatumia yale mafuta ya dreads na gel nyeusi kidogo
Shampoo ya kawaida ya dukaniNamaanisha kama anatumia products za mchanganyiko wa matunda kama nanasi,papai anachanganya pamoja na mafuta ya vinegar huwa yanasaidia kutoa vumbi lililoko kwenye nywele...,hiyo shampoo ya kawaida hipoje??ni zile za madukani ambazo zina kemikali ndani au(yani zimetengenezwa viwandani na sio home Made)???
Miezi Sita labda zile ndefu, mie kila baada ya wiki mbili naenda kutengenezaMe naona kama umesuka dreadlocks unaweza kukaa nazo hâta mwez,halafu ukafumua na kuzisuka tena na ukitaka kuzitwist tena unaweza kukaa hâta miezi 6,inategemea na nani anazitwist maana kuna watu wanatwist dreadlocks baada ya week 2 chali
Penda kutumia shampoo za kutengeneza kwa matunda,ni nzuri kwa afya za dreadlocks kuliko hizo za madukaniShampoo ya kawaida ya dukani
Vizuri zinakuwa zipo fresh mda wote lakini haziongezeki sanaaaa,so ukitaka zikue unaziacha miezi ya kutosha lakini unakuwa unafumua na kuziosha kila mwezMiezi Sita labda zile ndefu, mie kila baada ya wiki mbili naenda kutengeneza
mvumilivu hula mbivu. kama hukunyoa sahv unabana mchicha wa nguvuMi napenda sana dread locks na nimeanza kusokota. Naona ni kama style ya nywele ya kawaida inayohitaji matunzo sana. Ia inahitaji uvumilivu ukiwa unaanza maana hadi zishike fresh inatumia mda. Na katika kipindi hiki cha mwanzo ndo nywele huonekana rough, lakini zikishashika ziko vizuri Tu.
Watu watofautishe tango ya nywele na uchafu. Kuna watu natural hair zao ni nyekundu na hawataki kuweka super black. Sass ukikutana na watu wa style hii unaweza ukadhani nywele zake ni chafu kumbe ni tango ya nywele zake.
Ila all in all, dreads ni sana ILA matunzo yake Hasa ya awali ni expensive kuliko nywele za kawaida.