Dreadlocks!

Ha ha ha lol wamjua abas yap, huwa natengenezea kwake nikiwa dar pia kuna dada mmoja yupo karibu na bar flani nikikumbuka jina ntakuambia ipo pale barabarani tu Mwenge anatengeneza vzr ndio amerepair hizo zangu
Huyu abasi yuko mwenge sehemu gani. Mara nyingi natengeneza kwa Fita.. Sinza kumekucha. But natamani kuwa na alternative nyingi hasa muda wangu ukiwa umebana.

Na huwa ana watu wengi sana?
 
Huyu abasi yuko mwenge sehemu gani. Mara nyingi natengeneza kwa Fita.. Sinza kumekucha. But natamani kuwa na alternative nyingi hasa muda wangu ukiwa umebana.

Na huwa ana watu wengi sana?
Abasi hana foleni kiivo make huwa wapo jamaa watano wote wanaotengeneza, yupo Mwenge opposite na tamal hotel

Pia kuna mdada yupo pembeni ya calabash hapo hapo Mwenge nae yupo vizuri sana huyu anastyles nyingi za kusuka ila kwa Abasi kuna maximum repair ana kutengeneza vizuri anatumia sindano kuzinyoosha
 
Sio dreadlocks labda rasta za kichina dreads usipoenda saloon wiki mbili zinachakaa, zinaota huwezi kukaa lazma zioshwe na kutengenezwa kila baada ya wiki au wiki mbili
Me naona kama umesuka dreadlocks unaweza kukaa nazo hâta mwez,halafu ukafumua na kuzisuka tena na ukitaka kuzitwist tena unaweza kukaa hâta miezi 6,inategemea na nani anazitwist maana kuna watu wanatwist dreadlocks baada ya week 2 chali
 
Abasi hana foleni kiivo make huwa wapo jamaa watano wote wanaotengeneza, yupo Mwenge opposite na tamal hotel

Pia kuna mdada yupo pembeni ya calabash hapo hapo Mwenge nae yupo vizuri sana huyu anastyles nyingi za kusuka ila kwa Abasi kuna maximum repair ana kutengeneza vizuri anatumia sindano kuzinyoosha
Huyo abasi anatumia products za asili(natural)??
 
Ndo zipi hizo? Anaosha na shampoo ya kawaida, mafuta ya radiant, anatumia yale mafuta ya dreads na gel nyeusi kidogo
Namaanisha kama anatumia products za mchanganyiko wa matunda kama nanasi,papai anachanganya pamoja na mafuta ya vinegar huwa yanasaidia kutoa vumbi lililoko kwenye nywele...,hiyo shampoo ya kawaida hipoje??ni zile za madukani ambazo zina kemikali ndani au(yani zimetengenezwa viwandani na sio home Made)???
 
Shampoo ya kawaida ya dukani
 
Me naona kama umesuka dreadlocks unaweza kukaa nazo hâta mwez,halafu ukafumua na kuzisuka tena na ukitaka kuzitwist tena unaweza kukaa hâta miezi 6,inategemea na nani anazitwist maana kuna watu wanatwist dreadlocks baada ya week 2 chali
Miezi Sita labda zile ndefu, mie kila baada ya wiki mbili naenda kutengeneza
 
Miezi Sita labda zile ndefu, mie kila baada ya wiki mbili naenda kutengeneza
Vizuri zinakuwa zipo fresh mda wote lakini haziongezeki sanaaaa,so ukitaka zikue unaziacha miezi ya kutosha lakini unakuwa unafumua na kuziosha kila mwez
 
Mi napenda sana dread locks na nimeanza kusokota. Naona ni kama style ya nywele ya kawaida inayohitaji matunzo sana. Ia inahitaji uvumilivu ukiwa unaanza maana hadi zishike fresh inatumia mda. Na katika kipindi hiki cha mwanzo ndo nywele huonekana rough, lakini zikishashika ziko vizuri Tu.
Watu watofautishe tango ya nywele na uchafu. Kuna watu natural hair zao ni nyekundu na hawataki kuweka super black. Sass ukikutana na watu wa style hii unaweza ukadhani nywele zake ni chafu kumbe ni tango ya nywele zake.
Ila all in all, dreads ni sana ILA matunzo yake Hasa ya awali ni expensive kuliko nywele za kawaida.
mvumilivu hula mbivu. kama hukunyoa sahv unabana mchicha wa nguvu
 
Mkimuacha shetani mtaani mkaenda kanisani, naye hujijongeza Tartiiiibu!!!

Symbol of resistance imekuwa hijacked by coward people, wengi wao hawajitambui na hawajui kuwa hawajitambui, wanawaza beauty contests.

We refuse to be what they wanted us to be, we are what we are, that's the way is going to be.
By bob marley.
 
Lol kumbe timu dred tupo wngi???nafarijika sana nikiona hvi ntaongeza matunzo maradufu kwa dred zngu mana cio kwa kuzipenda hku!!asante wadau nimejifynza vingi kwkwli!!!!
 
Back
Top Bottom