MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 31,744
- 48,385
Nchi ya DRC ni ya pili kwa ukubwa Afrika, ina raia takriban milioni 80 na imejaa madini kote kote ikiwamo pia ardhi yenye rotuba kila sehemu, japo imekumbana na misukosuko ya ghasia, lakini taratibu raia wake wanapambana kubadilisha taswira ya nchi.
Rais wetu amekua kwenye mstari wa mbele katika kuhakikisha hiyo nchi imepata utulivu, ikiwamo kuhudhuria kuapishwa kwa rais wao mpya, ambapo yeye pekee yake ndiye alihudhuria, wengne wote alidai kubana matumizi.
Sasa taratibu na mikakati imeanza ya kuikaribisha DRC kwenye muungano wa EAC. Hii ni hatua nzuri sana maana EAC tumekua tukikwamishana kwa baadhi ya wanachama kudai kwamba ardhi yao ndio huwa inalengwa, sasa hapa anaingia mwanachama mwenye ardhi kubwa kupitiliza.
-----------------
Arusha. The East African Community (EAC) welcomes the intention of the Democratic Republic of Congo (DRC) to join the bloc, a senior official has said.
The Secretariat official said yesterday that they were awaiting an official letter from Kinshasa on the matter.
“DRC is a huge country with a great potential to strengthen the economic integration of our region,” he told The Citizen.
During his state visit to Kenya last week, the recently elected DRC president Felix Tshishekedi announced his country’s intention to apply for EAC membership. The secretariat’s official said news of DRC’s intention had in fact excited some EAC officials and affiliated institutions.
“DRC is more than a neighbour. It is a longstanding trading partner with practically all EAC states,” he said. EAC is an intergovernmental organisation composed of six countries namely; Tanzania, Uganda, Kenya, Burundi, Rwanda and South Sudan. According to Article 3 of the EAC Treaty, any country outside these can be granted membership of the Community provided it meets certain terms.
https://www.thecitizen.co.tz/News/1840340-4979470-1cosq/index.html