DRC yajiandaa kujiunga EAC baada ya rais wake kutembelea Kenya na kuwa na vikao vya faragha

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
19,484
2,000
Nchi ya DRC ni ya pili kwa ukubwa Afrika, ina raia takriban milioni 80 na imejaa madini kote kote ikiwamo pia ardhi yenye rotuba kila sehemu, japo imekumbana na misukosuko ya ghasia, lakini taratibu raia wake wanapambana kubadilisha taswira ya nchi.
Rais wetu amekua kwenye mstari wa mbele katika kuhakikisha hiyo nchi imepata utulivu, ikiwamo kuhudhuria kuapishwa kwa rais wao mpya, ambapo yeye pekee yake ndiye alihudhuria, wengne wote alidai kubana matumizi.
Sasa taratibu na mikakati imeanza ya kuikaribisha DRC kwenye muungano wa EAC. Hii ni hatua nzuri sana maana EAC tumekua tukikwamishana kwa baadhi ya wanachama kudai kwamba ardhi yao ndio huwa inalengwa, sasa hapa anaingia mwanachama mwenye ardhi kubwa kupitiliza.
-----------------

Arusha. The East African Community (EAC) welcomes the intention of the Democratic Republic of Congo (DRC) to join the bloc, a senior official has said.
The Secretariat official said yesterday that they were awaiting an official letter from Kinshasa on the matter.
“DRC is a huge country with a great potential to strengthen the economic integration of our region,” he told The Citizen.
During his state visit to Kenya last week, the recently elected DRC president Felix Tshishekedi announced his country’s intention to apply for EAC membership. The secretariat’s official said news of DRC’s intention had in fact excited some EAC officials and affiliated institutions.
“DRC is more than a neighbour. It is a longstanding trading partner with practically all EAC states,” he said. EAC is an intergovernmental organisation composed of six countries namely; Tanzania, Uganda, Kenya, Burundi, Rwanda and South Sudan. According to Article 3 of the EAC Treaty, any country outside these can be granted membership of the Community provided it meets certain terms.
https://www.thecitizen.co.tz/News/1840340-4979470-1cosq/index.html
 
Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,373
2,000
Safi sana...
Actually mpango wa kuivuta DRC na kuisogeza karibu na ndugu zake wa damu ulikuwepo kitambo sana lakini ulikuwa implemented hatua kwa hatu.

Hatua ya kwanza ilikuwa kuiingiza SADC na hilo tukafanikiwa.
Hatua ya pili ilikuwa ni kujenga miundombinu kupitia bandari ya kigoma na reli ya kutoka Dar mpaka Kigoma ha nili liko kwenye hatua nzuri sana.
Hatua ya tatu ilikuwa ni kutoa mafunzo ya kijeshi kwa vikosi vya DRC, na sasa vijana wa ki-Congo-man wako pale Monduli Arusha wanakula zoezi na kupikwa kwa umakini kabisa na hili pia tumefanikiwa.
Hatua nyingine ilikuwa ni kuisuka Idara yao ya Intelligence, hili litaanza soon japo kikwazo kimekuwa struggle ya superpowers za dunia kutaka kuingiza mifumo yao ya Intel ndani.
Hatua nyingine ilikuwa ni kuhakikisha tunajenga barabara kutokea Tunduma kupitia Zambia mpaka DRC na hili tumefanikiwa.

Sasa zimebaki hatua mbili muhimu sana.
Kuivuta ndani ya EAC
Na kuhamisha makao makuu ya nchi kutoka Kinshasa na kuyasogeza katikati mwa nchi kama alivyokwisha kufanya Mrundi.
Baada ya hapo nafikiri kwenye mwaka 2021 ni kutangaza Kiswahili kuwa lugha rasmi ya Taifa lao , halafu tunatengeneza Jamhuri nyingine ya wabantu wa Kikongomani wanaozungumza kama sisi.

Welcome aboard DRC.
 
MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
19,484
2,000
Nimeshindwa kumwelewa huyo jamaa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Itabidi uongeze chaji kwenye ubongo ili uje kuelewa mchezo wote huu. Mumekua mkizungushana kwenye mbuyu na hawa DRC, mchezo unachezwa kivingine sasa.
Watu wanaoelewa kitu kinaitwa behind the scene interventions and games can easily interpret the following
- Kenya is the corporate headquarters for China, US, UK, EU to venture into Africa continent
- Nairobi being made a mineral trade hub
- Thousands of acres of arable land for commercial farming
- Mineral extraction rights
- Unlimited timber
- SGR hitting DRC and bridging Atlantic and the Indian Oceans

I can keep on writing all day and night but am damn sure this is beyond your pay grade/scale
 
pingli-nywee

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
10,786
2,000
Rais Uhuru Kenyatta anafanya kazi ambazo zimewashinda hawa madikteta wengine wote ukanda huu. Rais Tshisekedi naye aige na afuate nyayo zake kwa manufaa ya nchi yake. Asikubali kuingizwa kwenye chama cha ubabe wa peni mbili, wakurupukaji na ma'anti-social'.
 
lwiva

JF-Expert Member
Apr 17, 2015
4,982
2,000
Ikijiunga DRC jina lazima libadilike kutoka EAC kuwa ??
Nchi ya DRC ni ya pili kwa ukubwa Afrika, ina raia takriban milioni 80 na imejaa madini kote kote ikiwamo pia ardhi yenye rotuba kila sehemu, japo imekumbana na misukosuko ya ghasia, lakini taratibu raia wake wanapambana kubadilisha taswira ya nchi.
Rais wetu amekua kwenye mstari wa mbele katika kuhakikisha hiyo nchi imepata utulivu, ikiwamo kuhudhuria kuapishwa kwa rais wao mpya, ambapo yeye pekee yake ndiye alihudhuria, wengne wote alidai kubana matumizi.
Sasa taratibu na mikakati imeanza ya kuikaribisha DRC kwenye muungano wa EAC. Hii ni hatua nzuri sana maana EAC tumekua tukikwamishana kwa baadhi ya wanachama kudai kwamba ardhi yao ndio huwa inalengwa, sasa hapa anaingia mwanachama mwenye ardhi kubwa kupitiliza.
-----------------

Arusha. The East African Community (EAC) welcomes the intention of the Democratic Republic of Congo (DRC) to join the bloc, a senior official has said.
The Secretariat official said yesterday that they were awaiting an official letter from Kinshasa on the matter.
“DRC is a huge country with a great potential to strengthen the economic integration of our region,” he told The Citizen.
During his state visit to Kenya last week, the recently elected DRC president Felix Tshishekedi announced his country’s intention to apply for EAC membership. The secretariat’s official said news of DRC’s intention had in fact excited some EAC officials and affiliated institutions.
“DRC is more than a neighbour. It is a longstanding trading partner with practically all EAC states,” he said. EAC is an intergovernmental organisation composed of six countries namely; Tanzania, Uganda, Kenya, Burundi, Rwanda and South Sudan. According to Article 3 of the EAC Treaty, any country outside these can be granted membership of the Community provided it meets certain terms.
EAC officials ‘excited’ by Kinshasa request
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fursakibao

JF-Expert Member
Dec 12, 2017
2,845
2,000
Itabidi uongeze chaji kwenye ubongo ili uje kuelewa mchezo wote huu. Mumekua mkizungushana kwenye mbuyu na hawa DRC, mchezo unachezwa kivingine sasa.
Watu wanaoelewa kitu kinaitwa behind the scene interventions and games can easily interpret the following
- Kenya is the corporate headquarters for China, US, UK, EU to venture into Africa continent
- Nairobi being made a mineral trade hub
- Thousands of acres of arable land for commercial farming
- Mineral extraction rights
- Unlimited timber
- SGR hitting DRC and bridging Atlantic and the Indian Oceans

I can keep on writing all day and night but am damn sure this is beyond your pay grade/scale
What i didnt understand wewe matak* is how your President amesaidia hiyo nchi kutulia.

You should keep in mind that Kenya does not approve who is to be a member of EAC.

You are such a coconut head

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkikuyu- Akili timamu

JF-Expert Member
Feb 16, 2018
4,198
2,000
DRC bado ni nchi changa kwa mahusiano na taifa za dunia. Wao wenyewe watakuja kujua tu njanja janja za serikali ya jubilee..
Hata south sudan wakua hapo tu hadi bendera yao karibu ifanane na ya kenya.Lakini miaka 6 tu wakenya pamoja na biashara zao wamefurushwa South sudan..Viongozi wao wamekataa kabisa kuhusisha vingozi wa keny kusuluhisha migongoro yao ya ndani.. Wametambua ukanjanja wa jubilee
 
Eish mzee hadithi zako ni kama za mama mboga sokoni. Biashara za Kenya zilifurushwa lini S.Sudan? Alafu uhusiano wa Kenya na S.Sudan ulianza na rais U.K na Jubilee? Mbona Raila Odinga ana ushawishi mkubwa S.Sudan zaidi ya kiongozi yeyote yule mwingine Kenya?
 
Mkikuyu- Akili timamu

JF-Expert Member
Feb 16, 2018
4,198
2,000
Eish mzee hadithi zako ni kama za mama mboga sokoni. Biashara za Kenya zilifurushwa lini S.Sudan? Alafu uhusiano wa Kenya na S.Sudan ulianza na rais U.K na Jubilee? Mbona Raila Odinga ana ushawishi mkubwa S.Sudan zaidi ya kiongozi yeyote yule mwingine Kenya?
Uhusiano wa kenya na S.sudan ulianza na serikali ya Raila na Kibaki.
Majangili wa Jubilee walipo ingia huo uhusiano ukaharibika kabisa..hauwezi kuwa mpatanishi na bado unaegemea upange mmoja kwa njanja njanja zako za kufyonza mali ya nchi nyingine
 
Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
5,263
2,000
Safi sana...
Actually mpango wa kuivuta DRC na kuisogeza karibu na ndugu zake wa damu ulikuwepo kitambo sana lakini ulikuwa implemented hatua kwa hatu.

Hatua ya kwanza ilikuwa kuiingiza SADC na hilo tukafanikiwa.
Hatua ya pili ilikuwa ni kujenga miundombinu kupitia bandari ya kigoma na reli ya kutoka Dar mpaka Kigoma ha nili liko kwenye hatua nzuri sana.
Hatua ya tatu ilikuwa ni kutoa mafunzo ya kijeshi kwa vikosi vya DRC, na sasa vijana wa ki-Congo-man wako pale Monduli Arusha wanakula zoezi na kupikwa kwa umakini kabisa na hili pia tumefanikiwa.
Hatua nyingine ilikuwa ni kuisuka Idara yao ya Intelligence, hili litaanza soon japo kikwazo kimekuwa struggle ya superpowers za dunia kutaka kuingiza mifumo yao ya Intel ndani.
Hatua nyingine ilikuwa ni kuhakikisha tunajenga barabara kutokea Tunduma kupitia Zambia mpaka DRC na hili tumefanikiwa.

Sasa zimebaki hatua mbili muhimu sana.
Kuivuta ndani ya EAC
Na kuhamisha makao makuu ya nchi kutoka Kinshasa na kuyasogeza katikati mwa nchi kama alivyokwisha kufanya Mrundi.
Baada ya hapo nafikiri kwenye mwaka 2021 ni kutangaza Kiswahili kuwa lugha rasmi ya Taifa lao , halafu tunatengeneza Jamhuri nyingine ya wabantu wa Kikongomani wanaozungumza kama sisi.

Welcome aboard DRC.
Jamaa we mkabila sana
 
Mgagaa na Upwa

JF-Expert Member
Sep 30, 2013
5,536
2,000
Itabidi uongeze chaji kwenye ubongo ili uje kuelewa mchezo wote huu. Mumekua mkizungushana kwenye mbuyu na hawa DRC, mchezo unachezwa kivingine sasa.
Watu wanaoelewa kitu kinaitwa behind the scene interventions and games can easily interpret the following
- Kenya is the corporate headquarters for China, US, UK, EU to venture into Africa continent
- Nairobi being made a mineral trade hub
- Thousands of acres of arable land for commercial farming
- Mineral extraction rights
- Unlimited timber
- SGR hitting DRC and bridging Atlantic and the Indian Oceans

I can keep on writing all day and night but am damn sure this is beyond your pay grade/scale
Mawenge tu ya urais huyo tshesekedi,akitulia ndio wenzake watamuambia nani ni baba wa maziwa makuu,hlf mkae mkijua Tanzania ni nchi ya 3 kwa kuwa na wakongo wengi wanaoishi nje ya nchi yao baada ya france na belgium,wakongoman Tanzania ndio their second home,huu mchezo alioucheza uk ni kama ule wa cow tu,utabaki kwenye makaratasi action 0
 
BlietzKrieg

JF-Expert Member
Mar 9, 2017
2,027
2,000
Mawenge tu ya urais huyo tshesekedi,akitulia ndio wenzake watamuambia nani ni baba wa maziwa makuu,hlf mkae mkijua Tanzania ni nchi ya 3 kwa kuwa na wakongo wengi wanaoishi nje ya nchi yao baada ya france na belgium,wakongoman Tanzania ndio their second home,huu mchezo alioucheza uk ni kama ule wa cow tu,utabaki kwenye makaratasi action 0
Hadi sasa companies gani za Tanzania ziko DRC since 1961?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom