DRC: Wafuasi wa Upinzani wakamatwa na wengine kujeruhiwa katika maandamano

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,482
9,242
Maandamano yalioitishwa na mfanyibiashara na mwanasiasa maarufu wa upinzani Martin Fayulu yametawanya na polisi mjini Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Maandamano hayo yalilenga kushinikiza mabadiliko katika tume ya uchaguzi, na kwenye mahakama ya katiba.

Wafuasi kadhaa wa chama cha Fayulu wamekamatwa na wengine kujeruhiwa mjini KInshasa na kwenye miji mingine ya Congo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom