DRC, Sudan want to join EAC | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

DRC, Sudan want to join EAC

Discussion in 'International Forum' started by Ngongo, Nov 23, 2009.

 1. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #1
  Nov 23, 2009
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  The Democratic Republic of Congo and Sudan could be the next two states to become members of the East African Community, EAC’s secretariat in Arusha has revealed.[​IMG] Ambassador Juma Volter Mwapachu, the Secretary General for the EAC stated during a press conference last week that DRC and Sudan have expressed interest in boosting the community membership from the current five to seven states.
  Mr Mwapachu explained that the joining of both Sudan and DRC could become a reality within the second decade journey of the regional cooperation set to start with the establishment of common market in January 2010.
  “DRC has discovered that it is more inclined towards the East, relying on both Mombasa and Dar-Es-salaam harbors for its external trade while most of the Sudan economic and social deals face south towards Kenya, eventually these two states will become part of EAC,” Mwapachu said.
  [​IMG]The East African Community which sailed on November 30, 1999 with the establishment of the
  EAC treaty, then with only Tanzania, Kenya and Uganda as members, marks its first decade
  anniversary this week having added Rwanda and Burundi along the ten-year-long journey. [​IMG]

  Speaking in Nairobi earlier on the he Head of Mission of the Government of SouthernSudan to Kenya, AmbassadorJohnAndrugaDuku was quoted by the media expressing his views that even if it was not the whole of Sudan then Southern Sudan which is closest to East Africa can be invited into the community as an observer state.
  Mr Duku added that other East African states will benefit from the presence of oil in Sudan while they can also sell industrial goods to the country.
  [​IMG]Sudan which is the largest state in both Africa and Arab world and DR of Congo the third largest country (by area) in the continent will together make East Africa the
  biggest regional community in the world. The integration of the two countries will also boost EAC population from the current 120 million to over 230 million.  Source:Arusha Times.
   
 2. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #2
  Nov 23, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Wamalize vita kwanza!

  Je ni Southern Sudan au Sudan yote na North?
   
 3. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #3
  Nov 23, 2009
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280

  Heshima kwako.

  Sudan ya kusini wanapush kuingia EAC baada ya kuchoshwa na ubaguzi wa waarabu wa kaskazini.
   
 4. T

  The Infamous JF-Expert Member

  #4
  Nov 23, 2009
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  wacha wajiunge tu...
   
 5. RUTAJUMBUKIRWA

  RUTAJUMBUKIRWA Senior Member

  #5
  Nov 23, 2009
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 185
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hivi vi nchi ni virgin, hivyo sisi ndo tuta ifaidi. Vita vya muda mrefu vimefanya wacongo na wasudan wasiende shule, hawajui kufanya biashara, hawana lolote, hivyo tutaenda kushindana na Wachina kuvuna mali zao, come in DRC and Sudan
   
 6. Sisimizi

  Sisimizi JF-Expert Member

  #6
  Nov 23, 2009
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 490
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Sudan kwanza wamkamate Bashir ashitakiwe!. Sudan itakuja kuvuruga tu! Watulie kwanza. DRC twaweza kuwafikiria!.
   
 7. Fugwe

  Fugwe JF-Expert Member

  #7
  Nov 23, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,680
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Kama ni mimi nigependekeza DRC na South Sudan tu ndio wajiunge. North sudan waelekee zaid North kwa wenzao
   
 8. K

  Kabonde JF-Expert Member

  #8
  Nov 23, 2009
  Joined: Aug 12, 2008
  Messages: 421
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  Tuko ukurasa mmoja South Sudan wapatiwe fursa ya kujiunga lakini North Sudan wasipatiwe nafasi kabisa kwani bado wanatukuza uarabu na uislam zaidi wanaweza kusababisha fujo kwenye shirikisho.

  North Sudan wanajifungamanisha na waarabu tena wanafuata sharia ambazo hakuna nchi mwanachama wa EAC wanatumia.South Sudan na Uganda wana mafuta ambayo yanaweza kuchochea ukuaji uchumi kwa nchi zote wanachama.
   
 9. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #9
  Nov 23, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Hivi ile referendum ya South kuwa huru ilashafanyika??

  Ila kweli..South Sudan..sema bado wapo 20 yers back..ukilinganganisha na member states wengine!
   
 10. K

  Kekuye Senior Member

  #10
  Nov 23, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wachina wanapokuja kuwekeza na kuvuna rasilimali Angola, DRC, Sudan na kwinginepo hawasemi nchi hizo zimalize vita kwanza. Sisi majirani ndiyo tunatafakari kuwa wamalize migogoro yao kwanza kisha tushirikiane nao. Ninafikiri tulitakiwa tutawaogope wachina zaidi kuliko Sudan na DRC kujiunga EAC.
   
 11. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #11
  Nov 23, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Tena waje haraka sana what an opportunity waw! let them join EAC
   
 12. Wacha

  Wacha JF-Expert Member

  #12
  Nov 23, 2009
  Joined: Nov 23, 2006
  Messages: 856
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Miaka 10 mafanikio yake yako wapi? Huu ni ujambazi na ufisadi ambao utakuwa mkubwa kuliko ufisadi wowote ule ambao umeshatokea. Kuna mijitu mizima na akili zao inafikiri kwenda kwenye Jumuiya ni njia nzuri ya kujificha baada ya kutafuna pesa ya walipa kodi. Nafikiri wengi wanahitaji kujifunza historia kabla ya kurukia hii treni. Kwenye kuungana lazima kuwe na criteria ya kuingia sio kila mtu aingie . Mfano ni SADC

  Maendeleo hayaletwi kwa sababu ya kuwa wengi au kuwa na soko kubwa la wasiokunacho, ajira kwenye hizi nchi iko chini sana lakini rasilimali zake zinachezewa kama njugu na viongozi ambao hivi sasa wako njia panda na hawafahamu wataokoka vipi?

  Maendeleo ya kweli yataletwa kwa kufanya kazi na kuongeza ujuzi kwenye elimu na kutumia mbinu bora, sio ujanja ujanja wa kutaka kupora kisichikuwa chako.

  Kikwete kila kukicha ni ufisadi mpya unaibuka, M7 anaogopa kitakachomfuata, Mwai Kibaki baada ya kuiba kura na mamia kufa kwenye uchaguzi uliopita, Kagame alitoa amri ya kuua marais wawili kabla ya kuingia madarakani, Bashir anatakiwa The Hague kwenye Internatinal court, Kabila hana experience na hana uhakika wa urais wake yaani hakuna mwenye nafuu wote ni Mafisadi.

  Watanzania ni lazima kuwasukuma wabunge kutopitisha huu mkataba feki. Mikataba ya madini bado inatuliza bila kusahau ule wa IPTL hivi bado tuna imani na hawa majambazi?
   
 13. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #13
  Nov 23, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Jamani let's be careful before we let anybody in. Siyo tu kwa sababu watu wameomba basi waruhusiwe. Cooperation is good but some countries come with a lot of baggage.
   
 14. n

  nomasana JF-Expert Member

  #14
  Nov 24, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 60
  now sice there are countries with weak economies that tanzanians can advantage of, every tanzanian want to join with them but when kenyans are trying to do the same to tanzanians then somehow that is not fair.

  nyinyi watanzania ni kigeugeu sana.

  its a dog eat dog world. kenyans are coming to tanzania to exploit the tanzanian economy because the tanzanians are incapable of exploiting their own economy.

  tanzanians will exploit the weaker economies of other countries. thats the way things are.

  its a dog eat dog world and kenyans are coming to tanzania.

  tanzanians are a bunch of hypocrites and the responses on this thread prove it.
   
 15. n

  nomasana JF-Expert Member

  #15
  Nov 24, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 60
  oh and that would be great news for kenya. more market for kenyans to exploit. yes they should come and join.
   
 16. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #16
  Nov 24, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Wewe nomasana,
  I beg to differ! msije kukuta nyie mnaliwa badala ya nyinyi kula...lets wait and see! kama vujo haijaanza huko kwenu ya kufukuza wageni kwakuwa nyinyi subiri ni s=sifuri halafu akili ni ndogo sana..ni uwizi, and bad deals ndio biashara mnayofanya...
  Kenya is going to loose trust me ..in a long run
   
 17. n

  nomasana JF-Expert Member

  #17
  Nov 24, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 60
  kenya is never going to lose to tanzania because of one simple fact.

  Kenyans THRIVE in competition while tanzanians try to SURIVIVE in competition. that is why tanzania will never repel south african companies from their country while in kenya, kenyan businesses have successifully competed against the south africans and sometimes kenyan businesses have won. we have even followed the south africans into other countries and into their own country to try and compete with them from there. kenyans welcome competition unlike tanzanians they run away from competition. THRIVE in the heat of the game.

  my friend be a man and stop being emotional. understand the reality, accept it and do something about it. quit wishing that kenya will one day lose its economic superiority to tanzania instead do something about it.
   
 18. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #18
  Nov 24, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Oh Gosh poor nomasana,
  Mimi niwe emotional huo ni msamiati..wewe tayari very much emmotional na all kenyans wako kama wewe akili ndogo..they burst so easily for trivial issue ndo maana mnaweza kuchinjana bila hata kufikiri..lol
  Coming to your point hao kenyans companies ni zipi? nani owners wake si hao wazungu wenu ambao wewe na serikali yako wamewafanya mungu watu..you can cheat wale ambao hawajafika na kukaa kenya lakini mimi no way...makampuni yanayoitwa ya kenya ni ya wazungu kutoka UK na machache sana (neglible) wa wanasiasa manyan'gau kutoka central..upo hapo?? wewe jaluo/kikuyu ..choka mbaya hakuna kitu??? OK

  Kenya is never superior to tanzania unless you using capitalist indexes to gauge your conclusion, lakini ukiangalia basic social services provision to its citizen we are far better..sasa wewe endelea kufurahia thugs wachace wa-own kila kitu nyiny mbaki pale kibera tuwafundishe biashara ..wait and see...pole pole ndio mwendo.
   
 19. n

  nomasana JF-Expert Member

  #19
  Nov 24, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 60
  companies gani? nakumatt is kenyan owned has held off shoprite from investing in kenya, safaricom successifully repelled vodacom from kenya(at the time the majority shareholder in safaricom was the kenyan govt) olympia capital holdings successifully repelled a south african company from investing in it and olympia capital went and invested in south africa. kenya airways(the pride of africa) competes with SA in africa. kenol/kobil is still competing with engen, actually kenol/kobil is doing better since the competion began, now they even have branches in ZAMBIA!!!! equity bank and kenya commercial bank are successifully competing witht the big multinational banks in kenya. and yes i left out the EABL vs SAB fight that EABL won. its thriving in the heat of the competition(that is what kenyans do) while the tanzanians melt like plastic. thats why it will take half a century before tanzania economy is on equal footing with kenya.

  show me the tanzanian list of tanzanian owned companies that have successifully competed with SA companies. i am wating
   
 20. Nzokanhyilu

  Nzokanhyilu JF-Expert Member

  #20
  Nov 24, 2009
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,087
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  While we are on it, let us just join the whole continent.
   
Loading...