DRC NA M23 vita kwisha neema yaingia CONGO


Kibo10

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
11,287
Likes
3,721
Points
280
Kibo10

Kibo10

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
11,287 3,721 280
Hatimaye serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na waasi wa M23 wametiliana saini makubaliano ya amani baada ya kutokea hali ya kutolewana kwa muda mrefu kuhusiana na suala hilo.

Kwa mujibu wa habari zilizopatikana, utiaji saini makubaliano hayo,umefanyika katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi na kumaliza vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyodumu kwa muda mrefu kwenye eneo hilo ukanda wa maziwa makuu.

Katika hatua nyingine, mjumbe maalum wa umoja wa mataifa katika nchi za maziwa makuu Mary Robinson, ameelezea kufurahishwa na hatua hiyo ambapo amesema, itakuwa ni ufunguo wa amani ya kudumu kwenye nchi hiyo.
 

Forum statistics

Threads 1,252,199
Members 482,034
Posts 29,800,062