mud-oil-chafu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2020
- 588
- 950
Yaaah sometime madini huwa yanakuwa exposedLava ikipoa inakuwa mawe mgumu. Kama yale mawe yanatumika kujenga nyumba sijui.
Yaaah sometime madini huwa yanakuwa exposedLava ikipoa inakuwa mawe mgumu. Kama yale mawe yanatumika kujenga nyumba sijui.
Goma ndio kuzimu inayozungumziwa kwenye biblia. Majanga kila siku.
Hahaahah.... We we jamaaa wewe unga na biti basi tujue mojaDah hawa jamaa mauaji kila siku mara sijui waasi wa maimai leo volcano hamna watu Wana stress Kama hao jamaa
Hi NDIO inaitwa DUNIAN TUMEUMBIWA MATESO
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app