Draw for the Africa Cup of Nations, South Africa 2013 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Draw for the Africa Cup of Nations, South Africa 2013

Discussion in 'Sports' started by Neter, Oct 25, 2012.

 1. Neter

  Neter Senior Member

  #1
  Oct 25, 2012
  Joined: Dec 30, 2011
  Messages: 144
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  [video=youtube_share;qvtkUWRi4R8]http://youtu.be/qvtkUWRi4R8[/video]

  Draw for the Africa Cup of Nations, South Africa 2013
   
 2. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  The Group D of the 2013 Africa Nations Cup in South Africa will likely be the 'group of death' as at least three of the teams out of the four teams in the group have a chance of qualifying.

  Group D has Ivory Coast, Togo, Algeria and Tunisia. Ivory Coast are the stand out favourites in the group, but Togo will fancy their chances against Algeria and Tunisia, with the two North African sides cancelling each other out in what will be a titanic opening game for the two.

  The Super Eagles will play in Group C, and the Stephen Keshi handled side will face the hurdle of the defending champions Zambia, Ethiopia and Burkina Faso.

  Tussle
  The Eagles defeated Zambia 2-0 before the last Nations Cup, when the Zambians were on the way to the Nations Cup, the Chipolopolo will go on to win the tournament.

  Group A, has hosts South Africa, Morocco, Angola and new comers Cape Verde making up the group. The most interesting game in that group will likely be the tussle between hosts South Africa and Morocco.

  In Group B, Ghana will seem to be the sole kings of the hill, with only Mali likely to trouble the Ghanaians, but Niger and DR Congo are not expected to provide too tough opposition.

  Written by 24/10-12 23:38 by Akinbode Oguntuyi

  Kwa hisani ya: AFCON 2013: Group D is 'group of death' | Futaa.com
   
 3. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  KUNDI A

  South Africa
  Cape Verde
  Morocco
  Angola

  KUNDI B

  Ghana
  Niger
  DR Congo
  Mali

  KUNDI C

  Zambia
  Burkina Faso
  Nigeria
  Ethiopia

  KUNDI D

  Ivory Coast
  Algeria
  Togo
  Tunisia
   
 4. g

  gutierez JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2012
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 1,254
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Timu zote kundi D zimeshawahi kushiriki ktk kombe la dunia
   
 5. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #5
  Oct 26, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Nadhani ubora haupimwi kwa kuwahi kushiriki kombe la dunia, kiwango ulichonacho sasa hivi ndio kinahusika.
  Laiti kama Uganda wangefuzu ingekuwa ni hatari zaidi kupangwa nao kuliko Angola ambao walicheza WC2006.
   
 6. g

  gutierez JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2012
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 1,254
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  sijasema kuwa ndio timu bora zipo kundi D,japo wengi wanadai kundi la kifo ila kwa mimi nikiangalia uwezo kama algeria najua kwa nchi za mashariki,kati na kusini mwa afrika anapata nao tabu ila anawasumbua waarab wenzake wa kaskazini mwa afrika,togo nae ilitokea 2006 ila sidhani kama wakutisha,mimi nilidokeza tu kama kwa taarifa yako na ukumbusho kuwa imetokea kundi moja kuwa na timu zote zilizoenda kombe la dunia,kuhusu uganda ni miaka mingi ni hivyohivyo wakali lakini hawapiti zaidi wanajivunia kucheza fainali 1978 na kula 2-0 kwa ghana,kwahiyo usibabaishwe nao maana hata rwanda waliingia 2004 wakaonekana kama wangekuwa balaa lakini ikawa ndivyo sivyo,hilo ndio soka la afrika
   
 7. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Who's your money on?
  Mimi nadhani kombe linabaki Mzansi...
   
 8. g

  gutierez JF-Expert Member

  #8
  Oct 29, 2012
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 1,254
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Ni bado mapema kwangu kutabiri,ngoja ikianza mechi za michuano ntakuambia.
   
Loading...