Citizen B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 6,676
- 9,032
Kasikilize ngoma ya lil pump inaitwa Gucci gangHapa sasa nimekuelewa
Yani ni upuuz lakini watoto wa skuiz wanapenda kitu simple kueleweka kina maudhui ya kujirudia rudia na kina mzuka wa club au ukiwa gheto unasmoke..(turn up)