Travis 1
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 872
- 1,349
Acha kabisa Mkuu.unashindwaje kutoa sare ndugu?
😃😃😃 Leo ndio nimejiona sijui aise. Kuna ile checkers ya kawaida, huwa nalionea sana.
Acha kabisa Mkuu.unashindwaje kutoa sare ndugu?
Mbona hili sio spanish
Mkuu hapa sijakuelewa mambo mawiliMkuu, Dallmax Hana mbinu, kwanza king zake zina move stly moja ,hakuna kuchagua .
Kwa aliyecheza checkers sezch ,hawezi shin0dwa na dalmax .
Difficult ya dalimax ni master lever ya Sezch checkers
Mkuu hapa sijakuelewa mambo mawili
Hana mbinu kivipi.....ina maana wewe unamfunga?
Na king zake mbona zipo kama sheria zetu za kibongo ukichagua TANZANIA
Dalmax level 100 hii Hapa, dalmax kapigwa vitasa na mwarabu.
Dalmax level 100 hii Hapa, dalmax kapigwa vitasa na mwarabu.
+255767918675Mi Nishasema Dalmax ni level ya kawaida sana kwenye mabao.siri ya Dalmax wengi awajui, Dalmax yeye aliye-mprogram inaonekana michezo ya pembeni inampa sana shida.Dalmax ukimpelekea copy za pembeni basi una asilimia kubwa ya kumfunga au kutoa sare tofauti ukimpelekea kati basi wewe una asilimia ndogo ya kutoa sare au kufunga.
Dalmax ukimpelekea michezo ya kati inatakiwa uwe bingwa sana ndo uweze kuchomoka maana mabingwa walifanya utafiti wa michezo ya kati wakagundua kuwa kati hamna goli la lazima labda mtu hakosee, ila pembeni kuna magoli ya lazima.ili uweze kumfunga Dalmax unatakiwa ujue vigoma vingi vya pembeni kama alivyokuwa anacheza marehemu mchafu.
Kama unataka kuona mapungufu ya Dalmax nitumie namba yako ya whatsapp pm nikutumie video nilizokuwa nacheza nae, nikiwa namfunga au sale anakimbia yeye
Mi Nishasema Dalmax ni level ya kawaida sana kwenye mabao.siri ya Dalmax wengi awajui, Dalmax yeye aliye-mprogram inaonekana michezo ya pembeni inampa sana shida.Dalmax ukimpelekea copy za pembeni basi una asilimia kubwa ya kumfunga au kutoa sare tofauti ukimpelekea kati basi wewe una asilimia ndogo ya kutoa sare au kufunga.
Dalmax ukimpelekea michezo ya kati inatakiwa uwe bingwa sana ndo uweze kuchomoka maana mabingwa walifanya utafiti wa michezo ya kati wakagundua kuwa kati hamna goli la lazima labda mtu hakosee, ila pembeni kuna magoli ya lazima.ili uweze kumfunga Dalmax unatakiwa ujue vigoma vingi vya pembeni kama alivyokuwa anacheza marehemu mchafu.
Kama unataka kuona mapungufu ya Dalmax nitumie namba yako ya whatsappe pm nikutumie video nilizokuwa nacheza nae, nikiwa namfunga au sale anakimbia yeye