Dr. Wilibrod P. Slaa: Special Thread

Dr Slaa ataongoza Kondoo wa bwana wa Tanzania baada ya uchaguzi October 2015 kutokea pale IKULU

ole wao maccm dr slaa aingie ikulu.Dhaifu,lowasa na vibaka wote ccm hawapashike mimba mpaka wajifungue
 
Naona hoja imekuingia sasa umeanza kubwabwaja na kuhororoja bila mpango.

Nnawaswas na uanamme wako.

Ole wao maccm dr slaa awe raisi,razima slaa atafunga ndoa na kuwat..om..ba maccm yote yakiongozwa na dhaifu,el,chenge na vibaka wote mpaka mjifungue
 
Mumshawishi kugombea urais Dr.Slaa? Hebu acheni masihala mumshawishi wakati Dr.Slaa ndiyo mgombea urais wa kudumu wa Chadema nani mwingine ambaye kajitokeza kugombea? Hamna yeyote atakaye jaribu kugombea urais Chadema kama ajafukuzwa kama paka.
dubwana huna jipya,tumekuzoea tunakuona kama mzuraraji wa JF
 
Mleta mada,

Huna haja ya kuweka historia ya Dr Slaa upya humu JF. Sijui weweni mgeni ama vipi, lakini tayari historia ya Dr Slaa ipo humu kabla ya kushindwa kwake uchaguzi wa mwaka 2010.

Haya yote unayofanya hapa ni marudio tu. Na Membe leo amewachana LIVE kuwa hao wafalme wenu ndio wanafanya CCM ushinde kwa kishindo katika kila uchaguzi. Naona na wewe kwa akili zako ndogo unarudia yale yale.
Invisible...tafadhali unganisheni uzi huu na ile uzi ya kipindi kile ya Dr Slaa.

Ndo shida za kukariri. Ebu define: what is history?
 
Last edited by a moderator:
dubwana huna jipya,tumekuzoea tunakuona kama mzuraraji wa JF

Dr slaa akiapishwa october atuambie vibaka na majangiri na mafirauni ya ccm atayafanyaje?Asiposema kama atayaoa atuachie sisi tuyaoe Au atutapiga kura kama atasema yametuchosha sana
 
Fikiri kabla hujajibu kama ulipiga kura 2010 na hayo ma mbgmbg yako ulipiga kinafki bas, nakushauri fanya uamuz mwaka huu, la msingi ni hivi... "Mwanaume halisi anatest zali..." alaah!!
 
ccm inamuogopa sana Dr Slaa , kuna mgombea wa ccm amenong'oneza marafiki zake kwamba KULIKO KUPAMBANA NA DR SLAA ni heri kujitoa .
 
Dr Slaa alisema Elimu bure kuanzia s/ msingi hadi kidato cha sita,ccm wamekuja na Elimu bure wakiiga na kuchomeka eti elimu iwe ya lazima hadi kidato cha nne huku wakidai ifundishwe kwa lugha ya kiseahili

Kinana aliposema kutoa Elimu bure haiwezekani alifikiria kodi na raslimali tulizonazo au
akili ndogo kutawala akili kubwa?

Dr.slaa is the image of our Firm
 
umeandika kwa umakini mkubwa mno ! bila shaka wewe ni msomi .
 
Nasikia rizone amekamatwa china anauza unga na meno ya tembo!ole wenu maccm Dr slaa aingie magogoni mtatembea uchi na ujambazi wenu razima lowasa,chenge,rostam na dhaifu wanyongwe adharani
Razima = Lazima
 
Mumshawishi kugombea urais Dr.Slaa? Hebu acheni masihala mumshawishi wakati Dr.Slaa ndiyo mgombea urais wa kudumu wa Chadema nani mwingine ambaye kajitokeza kugombea? Hamna yeyote atakaye jaribu kugombea urais Chadema kama ajafukuzwa kama paka.

Kuwatofautisha Bavicha na futuhi ni kazi ngumu!
 
Back
Top Bottom