Hassann msimbe
Member
- Jan 15, 2017
- 50
- 64
Wasalaam,
Ndugu zangu ni dhahiri watanzania tumegawanyika hatuna utaifa tena umebaki ukada tu. Maana tumefikia kama sio kada wa CCM sahau ajira serikalini.
Tunakuomba popote ulipo usomapo andiko hili tafadhali tufikirie Watanzania hasa sisi wanyonge. Tunakuomba uje ujenge umoja wa kitaifa kwani kwa sasa watanzania wengi tumekata tamaa na upinzani hauaminiki tena.