DR. Wa ukweli alikunywa maji ya babu loliondo!!! Anaumwa nini jamani???waziri waa afya anynyuz?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

DR. Wa ukweli alikunywa maji ya babu loliondo!!! Anaumwa nini jamani???waziri waa afya anynyuz??

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Salimia, Mar 11, 2011.

 1. S

  Salimia JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 665
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Salamaleko.


  Sisi ni wana maombi na ktk moja ya kazi zetu nikuliombea taifa sasa akuna kitu kibaya kama kuombea taifa ukijua kiongozi wako anaumwa na ujui anaumwa nini
  babu wetu wa lolioondo alitufungulia mlango kwamba Dr. wetu wa ukweli alifika uko na tunambiwa wagonjwa wanakimbilia uko kama njugu

  ningeomba mtusaidie kwenye maombi ya leo kwa wanaojua Dr. wa ukweli anaumwa nini tuweze kumweka maombini mungu amnusuru na kaugonjwa hako..maana sukari,presha na nk yamekuwa hatari sana kwa umri kama wake

  natanguliza shukran kumbuka maombi ni silaha akuna aliesimama na maombi akataabika​
   
 2. C

  Chupaku JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2011
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 1,043
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  haumwi. Kama aliwahi kuanguka ni uchovu tu au kafunga.

  By the way, nasikia kwa Babu hata wasio na watoto wanaenda kupata dawa, siyo yale 5 tu aliyotaja babu.
   
 3. S

  Salimia JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 665
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Alianguka kwa uchovu? ila rada zilimkamata akiwa kwa babu
   
 4. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,421
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 180
  huwa ana sukari. tumwombee Mungu raisi wetu Dr Slaa.
   
 5. S

  Salimia JF-Expert Member

  #5
  Mar 11, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 665
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kama ni sukari tu,, haina mabaya kwa Babu limekwisha hilo
   
 6. M

  Mkono wa Tembo Member

  #6
  Mar 11, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kanywa kanywa sana! anaumwa jamani, asingekua anaumwa angefuata nini kwa babu? tumuombee tu apone labda waziri wake ataacha kutoa maagizo ya kijinga...kumzuia babu asiwape dawa wagonjwa.
   
 7. S

  Salimia JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 665
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mkono wa Tembo nimekupata mkuu. Tutapata picha zake na kuzi load humu mala moja
   
 8. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #8
  Mar 11, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  na wale maaskofu waliokunywa je?
   
 9. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #9
  Mar 11, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Wote waliokunywa ni wagonjwa, hopefully wamepona sasa, kwa hiyo hata yeye amepona
   
 10. S

  Salimia JF-Expert Member

  #10
  Mar 11, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 665
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Bukanga, nimekupata mkuu, tumwombee Dr, wa ukweli
   
Loading...