Dr. W. Slaa na vyama vya upinzani. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. W. Slaa na vyama vya upinzani.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nonda, Dec 22, 2010.

 1. N

  Nonda JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2010
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 12,996
  Likes Received: 1,726
  Trophy Points: 280
  Dr,W.Slaa

  Kuna thread ya maandamano ya amani nchi nzima. Tafadhali ipitie hiyo thread na usome mawazo na ujumbe uliomo humo. Uone kama kwa upande wenu kama CHADEMA mutaichukua hiyo changa moto kama vyama vya upinzani.
   
 2. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #2
  Dec 22, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,104
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Sijui kama dr.ataridhia maana Mwanakijiji,ngwanang'wa na wengne umu Jf tumemwomba muda mrefu atoe kauli tulianzishe lakini bado analifanyia kazi. Dr.SLAA sikia sauti ya umma,sauti ya Nonda,sauti zetu, ongeza sauti yako tujenge Tanzania huru!
   
 3. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #3
  Dec 22, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 9,786
  Likes Received: 2,062
  Trophy Points: 280
  Guys you are not serious, huwa tunasema na mnatutukana humu, Dr.Slaa sio wa kuandamana! mbona hamumuelezi Mbowe si ni mwenyekiti?

  waandamanaji ndani ya chadema wako lakini hawawezi kufurukuta! you want their names??
   
 4. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #4
  Dec 22, 2010
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 11,351
  Likes Received: 2,761
  Trophy Points: 280
  Natumaini CHADEMA watatusikiliza. Kwani wao wamekwishasema kua maandamano ya amani yatakua ni mojawapo ya njia za kudai katiba mpya na kupingana na maovu yote ya kiuongozi TZ.
   
 5. J

  JokaKuu Platinum Member

  #5
  Dec 22, 2010
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 11,273
  Likes Received: 1,861
  Trophy Points: 280
  Waberoya,

  ..heri ya Dr.Slaa anayeogopa machafuko na vurugu, kuliko wale wengine wanaoogopa kumvunjia heshima JK.
   
 6. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #6
  Dec 22, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,779
  Likes Received: 530
  Trophy Points: 280
  Chadema siyo CUF.
   
 7. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #7
  Dec 22, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,779
  Likes Received: 530
  Trophy Points: 280
  mjuaji wa kila kitu na ndoto zako za "Dr. Slaa out"
   
 8. N

  Nonda JF-Expert Member

  #8
  Dec 22, 2010
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 12,996
  Likes Received: 1,726
  Trophy Points: 280
  Mkuu,

  Umeninukuu hapo juu, lakini sijaifahamu ulichokiandika, “Chadema si CUF”
  Nifafanulie, una maana gani? Jee umeipitia hiyo thread ya Maandamano ya Amani nchi nzima ?
  Pengine, tunazungumza vitu viwili tofauti.
   
 9. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #9
  Dec 22, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  'Tuwaachie nguruwe wala shamba peke yao'?
   
Loading...