Moseley
Senior Member
- Jul 10, 2010
- 187
- 94
Ndugu zangu,
kuna msemo unasema, "The future is for those who prepare for it today"..
Mimi kama Mtanzania, nisiyefungamana na Chama Chochote, napendekeza Dr. Slaa agombee tena uraisi 2015.. Maana naamini ni mtu anaefaa kuwa Rais wa nchi hii 2015. Ni mzalendo wa kweli katika nchi hii..
Kwa sababu hiyo basi kwa sababu uchaguzi utafanyika mwaka 2015, Nimeona nianzishe thread hii kwa ajili ya kupanga mikakati ya kuhakikisha Dr. Slaa anaingia Ikulu mwaka 2015..
2010 kulikua na lafu nyingi za chama tawala kwa kutokuwa na Tume huru ya Uchaguzi na uwepo wa katiba inayokipendelea zaidi chama tawala..
Kwa hiyo naomba tuweke mikakati ya kuwang'oa CCM ikulu na tumweke Slaa Ikulu..

- Nchi inakwenda mrama
- Maisha yanazidi kuwa magumu
- Ufisadi unaongezeka
- Tulisikia magamba yanavuliwa, lakini utafiti wangu unaonesha magamba yanavaliwa upya kwa kasi na ari mpya
- Nidhamu serikalini haipo, uzalendo haupo, Utu hakuna.. Ubinafsi "A"
- N.k